Document iko hapo juu, tuwekee hapa quote tuone imeandikwa wapi? Endeleeni kujidanganya, jamaa waache kuangalia usalama na maslahi yao wawaze siasa zenu za kwenye vumbi hizi!!Kubali ukatae sababu kuu ya vikwazo ni unyanyasaji wa ccm kwa wapinzani
hamjawekewa vikwazo mkuu..isipokuwa ni zuio tu kutoa Visa kwa watu ambao hawana sababu za mwingi kwenda marekani.kuna ovestayers wengi sana USA kutoka Tanzania.Mashaka yangu ni uchumi kuporomoka mpaka kufikia ile hali ya Zimbabwe.
Pia tujue kuwa Marekani wakifanya hivyo Uingereza itafuata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna social media yeyeto isiyo international ukishaingia kwenye ulimwengu Wa vidole hakuna siri utakayowezaificha
Wewe ambaye uko ndani ya Serikali ya Marekani tuelezee ukweli kuhusu hilo katazo la Watanzania kuingia Marekani! Kama ni kuhusu kuminya Demokrasia na kutesa Wapinzani, Uganda na Rwanda wasinge kosekana katika hilo zuio!Nakupa pole ndugu yangu hujui unachobandika hapa wale jamaa wakiongea humanisha sio kinacho tangazwa hazarani sio sawa na kinachotolewa kwa viongozi husika
Achana na maneno ya Trump, tapeli sana yule mzee. US aid nyingi sana zimepigwa pini kwa nchi zinazonyanyapaa mashoga ikiambatana na makaripio makali, au huonagi?Hapa ndio mtakamata wajinga.
Si kweli kwani hata Trump haungi mkono huo ujinga sijui wa vilainishi n.k
Kuna nchi kama Uganda wametunga sheria kali kuliko nchi yoyote afrika mashariki,lakini hawapo kwenye orodha
Kuwa wakweli na kutoa sababu halisi ndio suluhu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli .Tramp mwenyewe sio muumini wa mashoga na amekataa ni vile tu hana power ya kuondoaKuwasakama na kuwanyima vilainishi wapenzi wa jinsia moja
Kwanini tukuamini?Sio kweli .Tramp mwenyewe sio muumini wa mashoga na amekataa ni vile tu hana power ya kuondoa
Ndio hivyo sasa. Yeye hapendi ila US inapenda.Sio kweli .Tramp mwenyewe sio muumini wa mashoga na amekataa ni vile tu hana power ya kuondoa
Mirija ipi ya wizi Magufuli aliyoziba zaidi kuharibu haribu kila sekta kwa kutumia mbinu zake dumavu za kiuongozi na ni mtu asiye na akili kabisa ya kuongoza. Acha kuendeshwa kwa makelele na kama hujui kitu kaaa kimya, funga domo kabisa! Mijitu haijui kitu inakaa na kuishi kwa maneno na makelele ya watawala na waabudu. Narudia tena kama hujui kitu kaaa kimya kabisa!Tusije tukadhani kuwa ni Marekani inataka kutuwekea vikwazo wakati kumbe ni sisi wenyewe tunaumana ndani kwa ndani, na wajanja wameamua kumtumia tu Marekaani ili aonekana kuwa ni yeye! Kumubuka Marekani yeye alisha-abolish permanence; NO PERMANENT FRIEND, NO PERMANENT ENEMY. Hiii kitu mimi nina wasiawsi, yaweza kuwa ni sisi wenyewe. Unajua hapa Tanzania kuna watu wana mipango sana, na hasa kwenye kipindi hiki cha JPM, kisa ameziba mirija yao ya wizi?
Wengine fuata upepoYaani tulegeze watushike makalio ili tusiwekewe vikwazo?
Hao wazungu mbona mnawaona Miungu watu? Shule haziwasaidii ama
Sent using Jamii Forums mobile app