Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani


Unajua kwenye mitandao kuna wanakuja wamevuta bangi, wamelewa , wengine ni sehemu zao za kuandika pumba na kutukana watu lakini wengine ni vijana wa miaka 20 ambao hawajui wala hawana uzoefu wa maisha. Lakini kwa mtu muelewa hawezi kufurahia ndugu wa Kenya yeyote kulipuliwa na mabomu. Kama unavyosema kidamu kuna wakenya ambao ni damu zaidi na ndugu zaidi kuliko hawa Watanzania.
 
Nadhani sababu ya Marekani kutupiga ban ni ufinyu wa akili za watanzania walio wengi. Kama ban ya Marekani has anything to do na Serikali, basi wahanga wangekuwa ni viongozi wa serikali siyo raia wa Tanzania.
Kwa kuwa hili linawahusu raia wa Tanzania basi wenye shida hapo si Serikali bali raia wenyewe.
Jiulizeni, mmekosea wapi? Kwanini mnaanza kutengwa? Leo ni Marelani wanaotutenga, je kuna nchi nhapi zinazo rely intelligence ya Marekani kufanya maaumuzi yao?
Haya mambo si mepesi kama tunavyoyajadili. Kama ban inawahusu raia wa Tanzania basi hili si suala la serikali bali ni suala la watanzania kama jamii kwamba mna mafungamano na aina ya mfumo ambao kwa wengine ni uovu.
 
Wakiambiwa democrasia imeminywa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni haya ndo madhara yake
Kwani demokrasia ni kufuata matakwa ya marekani. Huo ni utumwa wa aina yake. Kwa nini nasi tusiwe na sauti na uamuzi wetu kwa mambo yetu. Hata tukitembea kwa kuchechemea maadam ni uamuzi wetu sio wa mwingine una maana sana. Kutawaliwa kimawazo na kifikra ni hatari sana. Lazima tujifunze kufanya maamuzi yetu. Kumbe kuwekewa vikwazo vya kuingia marekani kutatunyima kula au kuvaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili wala sio jambo la kusikitisha ndugu watanzania wenzangu, kikubwa tu kama watatuwekea vikwazo basi serikali yetu nayo ichukue hatua stahiki, kwa upande wangu ningechukua hatua zifuatazo;
1. Kuondoa uhusiano wa kibalozi baina yetu na wao, pasiwe na ubalozi wowote kati ya nchi hizi mbili,
2. Kupiga marufuku wamarekani kuja tanzania kutembea tu bila shughuli maalumu.
3. Kupandisha kodi kwa wawekezaji wa kimarekani.
4. Kuvunja aina yoyote ya urafiki baina ya marekani na Tanzania.
5. Kutotoa kibali cha kazi kwa wamrekani ili wawekezaji wao waajiri watanzania 100%.
 
Huyo mwehu atafungia dunia nzima.

Uzuri ni kwamba ni Rais wa muhula mmoja tu.

BTW:Ban pekee ambayo inaweza kuwa pigo la wazi kwa wabongo kwa sasa ni China na India.
 
Watu wengine mnapost vitu mtadhania mna uelewa wa jambo. Fikirieni kwanza kabla ya kuandika tu. Mtu kama wewe tuombe Mungu usije kuwa kiongozi kabisa sababu una fikara potofu sana.
1. Kuondoa ubalozi wa tanzania huku USA haujui waTz ndio tutaumia? Tutaenda kuomba passport wapi? Au mtz akikamatwa kwa sababu zozote ikiwa pamoja na za uhamiaji atawasiliana na nani apate msaaada. Ubalozi wa tz marekani upo kwa ajili yetu. Ukiondoka waTz ndio wataumia.

2. Haujui USA ni moja ya taifa linalochangia utalii tz kwa asilimia kubwa sana? Na dola yake inahitajika sana tz? Sasa ukiwapiga marufuku umemuumiza nani? Wao wataenda kenya, uganda, sa nk. Watakuwa sawa tu. Na wazungu wa ulaya na wamarekani ni hand to hand. Ukimzuia mmarekani jua umezuia wazungu wote.
 
Kwa hiyo wewe unataka mashoga?
Acha visingizio visivyo na kichwa wala miguu. Tunaitwa nchi ya kidemokrasia lakini kinachoendelea ni uhuni mtupu chini ya huyu anayejiita katibu mkuu tena Dr. Bure kabisa.
 
Wamarekani hawa hawa wanaotupa misaada?
 
Kwani mkuu demu akikukataa ndo umbake, umezuiwa kwenda Marekani ya nini uzamie? Binafsi sioni kama wa Tz tunategemea Dola ya marekani, it is just a way of convertion. Sema akili ndogo kama zako ndo zinaendekezaga utumwa, fight for your freedom, who is USA to decide how we live? Hata tukirudi primitive era it is better ilimradi tunaweza amua kwa ajili yetu.
We kama uko Marekani na unaogopa kurudi Tanzania believe me UR A SLAVE.
 
My issue ni solution yako uliyoitoa. Ni ya kipumbavu sana kama wewe ulivyo mpumbavu. Najua hata kimaishani haujafanya kitu cha maana kabisa sababu your thinking is terrible. Nani kakuambia mimi mtumwa USA. Nagawa my time between tz and USA, na nilikuwa maskini sana na wazazi wangu USA ndio imenitoa na kuniwezesha ku-invest in tz. Nasafiri tu back and forth na madege ninavyotaka kufanya shughuli zangu. Wewe utakuta hata africa haujatoka. Mjinga mkubwa wewe.
 

Serikali ituambie ni kibaraka gani wa mabeberu kafanya hiyo kazi, maana kila likijitokeza jambo, utasikia ni vibaraka wa mabeberu wamesababisha.
 
Hiyo ndo tofauti kati yangu na wewe, unaabudu watu mie naabudu Mungu, umetoka kimaisha ukubwani, nimetoka kimaisha utotoni, we umepanda madege kwa hisani ya marekani, mie madege tangu nasoma Sekondari, See all my success is Tanzania so ni kawaida we kuwa Mbwa wa MMarekani na mie kuwa Mbwa wa Tanzania.
One thing, Home is where you stop running.
 
Very foolish. Umetoka maisha utotoni wapi? Hio haikuwa hela yako. Hio ilikuwa ni hela ya wazazi wako. Shame on you to even think hio ni sifa. Na watu kama wewe mliokulia kwenye pesa mnaharibikiwa sana kimaisha. Mungu na akutangulie sababu sikujui lakini kwa maandishi yako you are a very troubled person. Tena utakuta wewe ni mlevi wa kupindukia.
 
Eti all my success. Hehehehe. Nacheka mie. Hauna mafanikio yeyote. Maybe wazazi wako. Wewe ni Sifuri kabisa kabisa. Poleee. Hehehehe
 
Raisi wa marekani Donald Trump , ameongeza nchi saba za Africa katika katazo la kuingia marekani ,hii inatokana na madai kwamba nchi hizo zimekiuka makubaliano ya kiusalama , ambayo hayakuelezwa kwa uhakika ,miongoni mwa nchi hizo kuna Tanzania , Nigeria , Sudan n.k
Source : DW
 
"Talk Sense to a Fool and he calls you a Fool"
He who knows not and knows that he knows not is a student; teach him. He who knows and knows not that he knows is asleep; wake him. He who knows and knows that he knows is a wise man; follow him. He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool; let him be.

Mtu ambaye hajui, na hajui kwamba hajui, ni mjinga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Literature imekufafanulia mwenyewe lakini ulivyo mjinga hautakubaliana na literature. Unaita watu fools wakati wewe ni a Big Fool by definition? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa sasa ndiyo huwa sina cha kukoment. Huwa ninaishia kuingiza mkono wa kulia ndani ya boxer na kubinyabinya kende zangu tu. Vijana wa uswazi wanaita kukanda ngano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…