Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

The Trump administration plans to add seven more countries to the US’s travel ban list, according to a report Wednesday.


Immigrants from the handful of countries — Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania — could face restrictions on specific kinds of visas, administration officials told the Wall Street Journal.


They could also be barred from entering the diversity visa lottery, which doles out green cards to people in countries with low levels of immigration to the US as part of a program that Trump has sought to end.


Trump teased plans to expand the controversial list at the World Economic Forum in Davos, Switzerland, but said the names of the new countries would be announced “very shortly.”


“We are adding a couple of countries to it. We have to be safe. Our country has to be safe,” he said.


The newest ban will roll out Monday — the third anniversary of Trump signing the initial ban that blocked travelers to the US from several majority-Muslim countries.

That ban was struck down twice in federal court before a third version was upheld in June 2018. The current iteration blocks travel to the US by individuals from Iran, Libya, North Korea, Somalia, Syria and Yemen, as well as political officials from Venezuela.


With Post wires
 
Lu-ma-ga,
Unajua maana ya kushiriki? Maana yake pia tuna nunua silaha nk. Kwanini Taifa tujiingize kwenye mambo yasikuwa na tija?

Vita terrorism wakitaka ishe ni maamuzi yao wenyewe na wala sio dunia.
Watz hatuwezi kuusikia na hapa nipo pamoja na vitengo vyote vya ulinzi Tanzania.
 
Baada ya serikali ya Marekani kutangaza rasmi kuwa kuna uwezekano wa kuwa miongoni mwa nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri hii ni dalili wazi Waziri wa Mambo za nchi za nje Proff Kabudi ameshindwa kabisa kusimamia sera za nje na akiendelea kushika wizara hiyo tutegemee vikwazo zaidi . Mheshimiwa Rais Magufuli mrudishe Waziri Maiga haraka kwenye Wizara hiyo kabla mambo hayajaharibika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakubaliana na wewe Dr. Mahiga na Membe walikuwa wana diplomasia sana. I think its highly time raisi kuweka mwanamke.
 
Sijaona Tanzania ikitajwa ama mimi ndio sielewi kizungu?

God save us
 
Mnafiki sana trump
Yaani huku Iran aliunganisha na sasa anawaunga mkono wananchi wa Iran
Ameona aongeze idadi ili aonekane anafanya kwa nchi nyingi na sio uislam kama alivyofanya mwanzo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
 
(Reuters) - The Trump administration is planning to add seven countries - Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania - to its travel ban list, U.S. media reports said on Tuesday.
WE NEED MORE EXPLANATIONS ALTHOUGH IT'S A MUST TO ENTER U.S
 
Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.

Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Si kweli, katika hili umepotoka mkuu. Hapa Ishu kubwa ni urafiki wetu na Iran. Isis or Alshaab wangekuwa wanaoperate hapa madhara yangekuwa zaidi ya yale unayoyaona Kenya. Na Hakuna Isis East Africa, Acha kupotosha
 
Sio fea kabisa,Kama ishu ya demokrasia mbona UG haipo kwenye list?mi nadhani Ni ile ishu ya kuisaidia Zimbabwe ifutiwe vikwazo.
 
Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Sasa ameamua kulenga Waafrika juu anajua hawezi chaguliwa tena inabidi aondoke kwa madharau. Jamaa amekuwa akichukia Waafrika na Black Americans kutoka kitambo.
 
Inategemea mkuu. Kama ni safari binafsi au hata ya kiserikali kutembelea marekani kwa shughuli zisizokuwa za umoja wa mataifa ni kweli wanaweza kuzuia visa. Ila kama ni safari ya kutembelea UN marekani wanabanwa na sheria za kimataifa..ni lazma watoe visa. Ndio maana mahasimu wakubwa wa marekani kama iran..north korea n.k. kila mwaka wanapewa visa kwenda kwenye vikao vya UNGA.
Na ni sasa unamuuliza hayo? Mie au hao

Diplomatic passports hazizuiliwi? Nani kakudanganya? Wakiweka zuio tena hao ndio wana hali mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea mkuu. Kama ni safari binafsi au hata ya kiserikali kutembelea marekani kwa shughuli zisizokuwa za umoja wa mataifa ni kweli wanaweza kuzuia visa. Ila kama ni safari ya kutembelea UN marekani wanabanwa na sheria za kimataifa..ni lazma watoe visa. Ndio maana mahasimu wakubwa wa marekani kama iran..north korea n.k. kila mwaka wanapewa visa kwenda kwenye vikao vya UNGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi wamemzuia Waziri wa Iran kwenda UN. Kawaida hata wakikiruhusu kwenda UN kama uko kwenye orodha maisha ni kama mfungwa tuu
 
Back
Top Bottom