Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Kwani vp kuna la ajabu??!
 
Hongera sana USA. sababu kubwa ya kuzuia Watanzania kuingia Marekani ni serikali ya Tanzania kushindwa kuwadhibiti na kuwalea watu wasiyojulikana. Marekani inawasiwasi kuwa watu wasiyojulikana kutoka Tanzania wanaweza kuingia Marekani na kuhatarisha usalama wa Marekani.
 
Wakuuu nimesikia kuwa Marekani ana mpango wa kutuwekea vikwazo vya kiuchumi. Jamani tuombe hilo lisitokee tuondoe tofauti zetu tuuugane kumuomba Mungu aepushe hilo ni janga kubwa mno na tukimuona mtu anasema kuwa waweke tu, tumkanye atakuwa hana akili.

Wale Jamaa wakikuwekea vikwazo ni balaa nchi inayumba hadi inakolapsi kiuchumi

Tujiulize swali kuwa kama Iran au Korea anapoona anawekewa vikwazo anahaha vile kwa kujitetea na kuomba vikao na Trump sisi ni nani?

Ukimsikia mtu anabeza huyo ni Mjinga mwambie aende Zimbabwe aone mateso ya huko, wanaomba nchi ziwasaidie waondolewe vikwazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiambiwa democrasia imeminywa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni haya ndo madhara yake
A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.
===
kuna neno demokrasia humo kwenye fungu la maneno hapo juu!?
mimi nimeipongeza nchi yangu kwa kutoruhusu ubinafsishaji wa usalama wetu.
 
Wale wenye elimu ya form 4 hawawezi kukuelewa. Wao wanaona wakiamka asubuhi akienda kwenye kikazi chake, akirudi ndiyo anaona ndiyo maisha.

China pamoja na kuwa vizuri kiuchumi lakini anapiga magoti kwa Marekani.
Mabeberu wanatuonea wivu. Mwambie Mbwana Samatta aje acheze kwenye club za Tanzania. Akikubali basi wanatuonea wivu
 
Kwa hiyo unatutisha au? Acha kulialia kama wewe ni mwanaume halisi. Watakuambia uwe shoga sasa hivi
Mkuu, acha hayo mambo ya kitoto nchi ikiyumba kiuchumi haichagui kabila wala chama, acha hayo maneno yatakuja kuwaumiza watanzania mkuu, wale Jamaaa wakianza huwa wanaenda hatua Kwa hatua mwisho uchumi wa nchi huurugika mkuu, utajikuta Siku unaenda Dukani kununua mkate unachukua hela unazijaza kwenye torori had linajaaa unasukuma kwenda Dukani kununua mkate tu, acha hayo maneno, hata wenye nguvu wakiona hivyo hukimbia kwenda kuomba msamaha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani vp kuna la ajabu??!
Sielewi Tz, Eritrea na Nigeria pia zimeingiaje kwenye orodha hiyo maanake naona nchi nyingi hapo ni zile ambazo zina beef na US. K.m. North Korea, Venezuela, Iran alafu zilizosalia ni nchi za waislamu wenye itikadi kali. Trump naye ana mawazo ya kishit hole kupindukia.
 
Kwani Tanzania inawekewa vikwazo vyakiuchumi au? Alafu kwani chanzo cha habari ni kipi ambacho ni official kabisa toka white house?
 
Kwani Tanzania inawekewa vikwazo vyakiuchumi au? Alafu kwani chanzo cha habari ni kipi ambacho ni official kabisa toka white house?
Siyo uchumi ila travel ban waadhirika wakubwa ni wasaliti itabidi waamue kuwa wakimbizi au warudi home ili washughulikiwe ipasavyo!
 
Mmeshayasahau mapress conference ya lisu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…