Bf Tulinagwe
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 211
- 383
Hujui kuwa walikuwepo akina January huko ikulu? Hujui kuwa walikuwepo akina nape huko ikulu? Wengne wemeingia Kwa kuokota embe kwenye mnazi ndio uone aliyomo humo kama hat miliki? Hata wale Jamaa waliongia humo Kwa matarajio ya wengi pasipo kubahatisha waliiacha, uboya wako na ushamba wako unakusumbuaNilijua tu una malengo ya kisiasa, sasa hiyo gia si ndo mtaingia ikulu kiulaini
Na wao watawala watakuwa wananeemeka na kile kidogo kitakachokuwa kinapatikananchi yetu ilivyokauka kaukau sababu ya umasikini wa kutisha si tutazidi kuletewa zahama
Kama wao Ni mabeberu basi sisi Ni majike,
Inaeleweka kabisa Trump jinsi alivyo juu ya mataifa ya africa na yale ya kiislamu,trump hapendi wageni kutoka africa na hayo mataifa ya kiislamuSielewi Tz, Eritrea na Nigeria pia zimeingiaje kwenye orodha hiyo maanake naona nchi nyingi hapo ni zile ambazo zina beef na US. K.m. North Korea, Venezuela, Iran alafu zilizosalia ni nchi za waislamu wenye itikadi kali. Trump naye ana mawazo ya kishit hole kupindukia.
Hauwezi ndio, na utakufa njaa..Akituwekea vikwanzo na sisi tunamwekea vikwazo asitubabaishe tuna marafiki chungu mzima dunia hii. Kwani bila marekani hatuwezi kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimeanza kutumika tangu jana ivyo iyo visa yako hauna kazi tena ..tupa au choma motoKimenuka tena. Sijui tumekosea wapi. Ngoja niangalie Visa yangu ina expire lini niwahi kabla ya hizo restrictions hazijaanza kutumika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache watufungie,nani anataka kwenda huko
Hizo ni hasira tu baada ya sera za ushoga kukataliwa,watarudi kivingine wakikwama na ubeberu wao
Marekani inakaribia watanzania 70,000 kwa taarifa yako
Hana jibu zaidi atakwambia demokrasiaMexico inashirikiana na USA sana kurudisha watu wao. USA wnachotaka ni Tz govt isaidie kurudisha watz kwao. Hii ilifanywa kwa nchi kama Gambia, Cambodia nk. Waliposhirikiana vizuri, basi restrictions zikaondolewa. Hakuna sababu nyingine nakuambia. Wewe unafikiria sababu ni ipi kwa mawazo yako?