Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
so vikwanzo vije kwetu?Kodi zetu ndicho kiburi cha watawala
Vikwazo vya Mmarekani havijui tofauti ya mCCM na Mpinzani!!!Kwani na wa CCM nao watakuwa waathirika au upinzani pekee yake ndo wataisoma namba?
Kwa hiyo uhai wako unategemea Oxygen tu eti??Uhai wangu hautegemei oxygen kutoka USA hasa utakuwa mashakani kivipi?
Ulimsikiliza Trump lakini ama unaamini unachokisikia kutoka kwa Zitto?Wakiambiwa democrasia imeminywa viongozi wetu wanaweka pamba masikioni haya ndo madhara yake
Sometimes unakuwaga na fact's aisee.......ngumu kumeza hii,ila sky Eclat umetumia kigezo gani kugundua ISIS Inavijana wengi wa kitanzania maybe kwa hapa E.AfricaNamba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.
Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Aisee huu ni upendo wa viwango gani kwa wamarekani kwetu sisi waTZUshoga siyo sababu na haiwezi kuwa sababu hata siku moja, sababu kuu ya vikwazo ni unyanyasaji wa serikali ya ccm kwa wapinzani hasa hii tabia mbovu ya kuwabambikia kesi nyingi
Hahahah, eti vilainishi...., daah..Kuwasakama na kuwanyima vilainishi wapenzi wa jinsia moja
Hata cc tutawafungia raia wao kuja kwetu, unyamaunyama. Kwanza huko kwao kuna tabia MbayKuwasakama na kuwanyima vilainishi wapenzi wa jinsia moja
The Trump administration is planning to add seven countries - Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania - to its travel ban list, U.S. media reports
Sasa si tutakufa kama kuku wa kizungu?Hii ni warning sign kuwa miradi ya misaada kama vile zile ARV na mingine inaweza kuwa mashakani sasa.
KWANI HUKO WAKIJIUNGA WANALIOPWA?Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.
Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
HujuiUna uhakika nimeandika kizungu?
Huyo ni mshenzi 2 cwez kukosea tundu sahihiSababu kubwa ni kukataa ushoga...