Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Papi Chulo,
Upuuzi mtupu! Ufadhili wenyewe si ni msaada kwenu nyinyi 'dona kantri' ambayo serikali yenu haina hela za kutosha kununua madawati, madawa na kuwalipa madaktari na walimu? Rais Uhuru yupo U.K. kujadili na kufata fursa za kibiashara na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa kuwapa Tz misaada ya hela za kujaza pengo kwenye bajeti zenu za elimu, afya n.k. Hapa E.A kuna nchi ambayo inapewa misaada zaidi ya Tz?
 
Hivi Unafahamu kenya ipo namba ngapi kwenye list ya wanaoongoza kupokea misaada kutoka US?
 
Dah, hiyo list bana. [emoji1] North Korea, Venezuela, Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen na sasa Tanzania, Eritrea, Nigeria, Kazakhstan, Myanmar, Sudan na Belarus. Kumbe Tanzania huwa ni 'muslim majority country'?
Not about Muslims it's about dictatorship
 
Sasa ameamua kulenga Waafrika juu anajua hawezi chaguliwa tena inabidi aondoke kwa madharau. Jamaa amekuwa akichukia Waafrika na Black Americans kutoka kitambo.
Not kuchukialing the guy is not mnafiki he say truth
 
Hivi Unafahamu kenya ipo namba ngapi kwenye list ya wanaoongoza kupokea misaada kutoka US?
Hivi unafahamu kwamba Kenya inafadhili bajeti yake kwa 95%? Tz- 55%, 45% misaada. Hebu leta takwimu ya hela zote za misaada ambazo zinazopokewa na nchi za A.M. kutoka nchi zote sio US tu, UK, Sweden, France, Germany etc, etc.
 
Magufuli kagoma kumtembelea baada ya kupewa mwaliko na trump ndiyo sababu ,mabeberu walitaka kumkalisha chini magu ili aache kuifungua Africa kiakili maana magu kasababisha heshima ya mzungu kusujudiwa kushuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaifungua vipi Africa kiakili? You know you kenyans you the cup outside
 
Inaeleweka kabisa Trump jinsi alivyo juu ya mataifa ya africa na yale ya kiislamu,trump hapendi wageni kutoka africa na hayo mataifa ya kiislamu
Ni chuki tu
Waafrika nasi tumezidi utumwa Wa hiari kwenda kwao,zamani walitupeleka kwa nguvu kupitia utumwa
 
Kuna sehemu nimeona imetolewa sababu, kwamba hao waliotajwa humo ni mataifa ambao wanaongoza kwa raia wake hupitiliza visa kila wakienda USA.
Statistically, Watanzania wachache sana wanakuja USA kwa mwaka. Kama hiyo ingekuwa sababu, nchi zenye watu wengi wanaokuja USA zingejaza list hii.

Serikali ya Marekani hawana rekodi za watu wanao overstay visa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta tunamlaumu Trump kumbe idea anazitoa kwa yule Porn star wake...am just saying [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakisha weka hivyo vikwazo wahakikishe pale masaki wanafunga virago vyao, ndio hawana issue tena tz
 
Hivi unafahamu kwamba Kenya inafadhili bajeti yake kwa 95%? Tz- 55%, 45% misaada. Hebu leta takwimu ya hela zote za misaada ambazo zinazopokewa na nchi za A.M. kutoka nchi zote sio US tu, UK, Sweden, France, Germany etc, etc.
Nakuuliza hivi na wewe unauliza hivi!
Hata kwenye hiyo 95 ya bajeti yenu hakuna cha maana kinachofanyika maana matatizo ni yale kama kawaida.
 
Kati yangu na wewe uliyeulizwa hiki ukajibu kile nani anahamisha goal posts?
Jombaa ukilemewa kuna option ya kurudi kwenye mada. Nilikueleza ulete takwimu za hela ambazo nchi za A.M. zinapokea kutoka kwa nchi za magharibi, sio US pekee yake. Kenya na US zinashirikiana kwenye vita dhidi ya UGAIDI na hapo ndipo huwa wanapeana usaidizi. 'Defence aid' kama ya nchi ya Misri ambayo ndio inapokea hela nyingi kutoka US. Sio hela za kununua madawati na madawa na kujenga vyoo kama Tz. Nchi zingine k.m. U.K huwa tunafanya nao biashara kama nchi yeyote nyingine. Ndio maana nawashangaa mnapomkemea rais Uhuru akiwa kwenye shughuli za kufata fursa za kibiashara huko. Eti sijui anawashobokea mabeberu. Ona takwimu za hela za msaada ambazo UK. waligawa Afrika 'financial year' ya 2018/19. Unaona jina la Kenya hapo? Nyinyi si mlipokea hela za msaada zaidi ya £200Million?
_93034841_chart2.png
 
Upuuzi mtupu! Ufadhili wenyewe si ni msaada kwenu nyinyi 'dona kantri' ambayo serikali yenu haina hela za kutosha kununua madawati, madawa na kuwalipa madaktari na walimu? Rais Uhuru yupo U.K. kujadili na kufata fursa za kibiashara na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa kuwapa Tz misaada ya hela za kujaza pengo kwenye bajeti zenu za elimu, afya n.k. Hapa E.A kuna nchi ambayo inapewa misaada zaidi ya Tz?
Ujue kutofautisha ufadhili na msaada
 
Back
Top Bottom