pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Papi Chulo,
Upuuzi mtupu! Ufadhili wenyewe si ni msaada kwenu nyinyi 'dona kantri' ambayo serikali yenu haina hela za kutosha kununua madawati, madawa na kuwalipa madaktari na walimu? Rais Uhuru yupo U.K. kujadili na kufata fursa za kibiashara na hao hao wazungu ndio wanaongoza kwa kuwapa Tz misaada ya hela za kujaza pengo kwenye bajeti zenu za elimu, afya n.k. Hapa E.A kuna nchi ambayo inapewa misaada zaidi ya Tz?