Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Acha kuota mchana

 
CCM waache kuwabambikia kesi kuwatesa kuwanyanyasa wapinzani
Acha ramli,mbona sababu imeelezwa hapo kuwa ni juu ya harakati za kupambana na ugaidi wewe unakuja na nyimbo zako za demokrasia,wapinzani bwana kwenu ninyi demokrasia ni kuachwa huru mtukane matusi watu ? Eti uminywaji wa demokrasia,msitegemee kuingia ikulu kwa haruma za marekani ,kwanza Tanzania hakuna upinzani hata marekani analijua hilo ,kuna waganga njaaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha propaganda za kitoto ambazo malengo yake ni kuwaokota wasio na uelewa mkubwa wa masuala ya kisiasa!

By the way, historia yako hapa Jamiiforums inaonyesha hujawahi kuwa CCM!

Kwani hutaki Rais Magufuli aondolewe? Wewe ni mpinzani wa aina gani asiyetaka Rais Magufuli aondolewe madarakani?

Tujenge hoja zenye nguvu za hoja na sio kujivita UCCM ili tu ionekane eti wana CCM wanampinga Rais Magufuli! Hii ni kujipa matumaini ambayo hayapo lakini kibaya zaidi ni kuwapotezea muda wale wajinga wanaodhani ulichokiandika ni kweli!
 
Mbona sababu walizoandika sio hizo ulizozitaja?

Hiyo ni hatua ya Marekani kuchukua tahadhari za kiusalama.
 
Sijaongelea kuwa wameletwa na trump ila propaganda wanazoziendesha Marekani za kuwapa uhuru mashoga athari zake zinafika mpka huku,
Hivi unajua Serikali ya Trump imefuta misaada yote iliyokuwa inatolewa na serikali kwa mashirika na taasisi zinazojihusisha na ushoga na usagaji? Hivi unajua sera mojawapo kubwa ya Republican ni kuupinga ushoga na usagaji?
 

..CCM ingekuwa inapinga ushoga Babu Seya na Papii wasingetolewa kifungoni. Na zaidi wasingekaribishwa Ikulu.

..Ni unafiki CCM kusema wanapinga ushoga, na wakati huohuo wanaunga mkono walawiti, tena wa watoto wadogo, kama Babu Seya na Papii.

..Tunapaswa kukataa ushoga, na kuikataa CCM.
 
I know this is going to happen maana kila Day unawaita wafadhiri wako mabeberu wameshapata tafsiri yake so kichapo lazima... even me nikufadhiri and then unitete nje wazi wazi... ndio yale ya Maalim Seif kugomea mkono wa Shein. So mla huliwa
 
Hivi unajua Serikali ya Trump imefuta misaada yote iliyokuwa inatolewa na serikali kwa mashirika na taasisi zinazojihusisha na ushoga na usagaji? Hivi unajua sera mojawapo kubwa ya Republican ni kuupinga ushoga na usagaji?
Acha upuuzi kizungu hujui
 
Bora kushugulikia hii swala mapema vinginevyo tunaondoka sisi na hao wapinzani wanachukua nchi kwenye macho yetu
Hakuna kitu kama hicho, na hapa hili tulilizungumza

Tatizo kwa upinzani wa Tanzania, hata kama ni kweli CCM ime bweteka kutokana na overstays for too much lakini kwa Tanzania kuna wapinzani gani wa kustahili kupewa nchi?.
P
 
Mabeberu watuache, hatuendi kwao....sisi nchi tajiri....miradi yote tunatekeleza kwa fedha za ndani...tutembee vifua mbere...with ah on za raiti trak
#donakantri
#leprofesorikalamagandakabugi




Everyday is Saturday...............😎
 
Watanzania acheni ujinga katika katazo lao hilo hakuna mahali walipo andika eti kwa sababu ya uminywaji wa democrasia ila walichogusia zaidi katika mambo ya kiusalama zaidi kwenye ugaidi.tunachopaswa kufanya ni kuanza kuwa makini kwa sisi Wenyewe dhidi ya hawa magaidi na kuwareport mahali husika ili waweze kukomeshwa na hali irudi kuwa shwari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…