Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Namuunga moon Trump kama huyo ban itasaidia kuwalazimisha watawala wa nchi hizo kurekebisha baadhi ya mambo ambao hanako sawasawa
 
Hakuna tulichokosea chochote. Urafiki wetu na Iran ndiyo umepelekea maamuzi hayo ya Trump.

Mmesahau hii kauli "friend of my enemy is my enemy too".

Na Mmesahau George Bush Jr. Aliposema "You're either with us or you are against us". Maana yake...

In political communication, the phrase "you're either with us, or against us" and similar variations are used to depict situations as being polarized and to force witnesses, bystanders, or others unaligned with some form of pre-existing conflict to either become allies of the speaking party or lose favor. Wikipedia

Simpo.
 
Namuunga moon Trump kama huyo ban itasaidia kuwalazimisha watawala wa nchi hizo kurekebisha baadhi ya mambo ambao hanako sawasawa
Lakini hii ku ban haihusiani na utawala mbovu! Ingekuwa ni utawala mbovu wangezi ban Russia na Saudi Arabia pia!
 
ARV bora wasizilete tu, siku hizi hatukopi usa pia miradi yao yote ni ile ya kijingajinga na ina negative impact kubwa sana. Wa marekani wamenyimwa mji wa kigamboni, pia mengine mengi tu so wakibana visa zao na sisi tunabana za kwetu. Wao ndo watapata hasara sio sisi maana wamewekeza pesa ndefu hapa
Hii ni warning sign kuwa miradi ya misaada kama vile zile ARV na mingine inaweza kuwa mashakani sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some countries will face bans only on some visa categories, the Wall Street Journal reported. The list of countries was not final and could yet change, website Politico said.
Afadhali aisee.

Hii ni hatua moja wapo ya Marekani kuimarisha usalama wao na huenda tukaondolewa kwenye hiyo list.
 
Yaani Marekani sijui inajionaje yani, akitaka kukukomoa ana kuwekea vikwazo

Ushoga kwetu ni mwiko tena bora wawape mashoga wa Tanzania Visa wakaishi Marekani, hali ni mbaya mtaani watoto wa shule za msingi wana lawitiana kwenye vyoo vya shule huku mashuleni, tusichukulie poa kabisa... Miaka ishirini ijayo sijui hali itakuwaje
 
"U.S. President Donald Trump said in an interview with the Journal that he was considering adding countries to the travel ban, but declined to state which ones. Politico said an announcement was expected as early as Monday."

Kwenye hii para unasema Rais Trump aligoma kutaja ni nchi zipi zitawekewa ban. Wewe hizo umezitoa wapi?
 
Swala la kuzuia wapinzani, kuteka watu na kuminya uhuru wa habari inaipeleka nchi kubaya. Badala ya wapinzani kupoteza, CCM tunaenda kupoteza.

Haya matukio ya kubambikia watu makes ya hovyo yanaenda kutuondoa madarakani tusipokuwa makini. Marekani wanawawekea viongozi wetu vikwazo siku chache zijazo sijui itakuwaje. Na hapa dawa ni kumuondoa rais wetu aliyeleta na sera za ubabe badala ya diplomasia.

Bora kushugulikia hii swala mapema vinginevyo tunaondoka sisi na hao wapinzani wanachukua nchi kwenye macho yetu
 
Acha ramli,mbona sababu imeelezwa hapo kuwa ni juu ya harakati za kuoambana na ugaidi wewe unakuja na nyimbo zako za demokrasia,wapinzani bwana kwenu ninyi demokrasia ni kuachwa huru mtukane matusi watu ? Eti uminywaji wa demokrasia
Uminyaji Demokrasia, kuwatesa wapinzani uchakachuaji kwenye chaguzi zotr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"The new restrictions would apply to travelers and immigrants from Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania. The countries wouldn’t necessarily face blanket bans on travel to the U.S., but could have restrictions placed on specific types of visas, such as business or visitor visas, administration officials said". Source: Wall Street Journal.

Na hii uliiona?
 
Back
Top Bottom