Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Mkuu Manelezu, kwanza naunga mkono hoja, ili tuendelee tunahitaji taasisi imara, strong institutions and not strong people na hili nami nililisema

Sasa in absence of strong opposition, watu wachague nini zaidi ya kuchagua kilichopo?.
P
 
Exactly ni double standards
 
Rubbish kun uhusiano vip n Visa???????
 
‘Aaah wapi, wanaonea donge tuu uchumi wetu wa 5G. Hii vita mabeberu hawatoshinda. Kwanza, wanatuhitaji’

 
Mkuu hivi hii Saga la Finger print liinashinikizo la kutoka Washington?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kati ya wakenya wenye akili kabisa,asante na hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buku 7 zimeanza...kuna ID huwa zinaibuka karibu na uchaguzi tu humu ndani, aisee
 
Kwani Marekani kuna demokrasia ipi? Kama wanathubutu hadi kwenda kuwaua raia wa nchi zingine ndo wana demokrasia?
SWala hili has nothing to do with democracy but security, wanasem nchi hain utaratib mzuri wa kufany vetting kwa wasafiri wetu hivy kupelekea magaini.

Ni upuuzi tu sidhn kam kun nchi kupata passport yake ni ngum kam TZ
 
Acha kubania informatics mzee funguka tu....au upo USA river nin?
 
Tatizo kubwa unyanyasaji wapinzani na kubana uhuru wa habari.
Watu wanapotea hahuna anayejali, eti mtu kajinyonga eti wanajiteka.
Watu wanabambikwa kesi eti wahujumu uchumi kama wafanya biashara.
Barozi alimtembelea mke wa Azory, kesi za kubambika mahakani wanaziona.
Tusijifanye vipofu dhuluma na uonezi vinaendelea, Lissu kapigwa ma risasi kama mbwa hakuna anayejali.
Watu wamekuwa wanafiki nawakatili haijawahi kutokea!!
USA WANAONA YOTE HAYO!!
 
Hilo ya ku overstay ni Eritrea Nigeria nk, tz hatupo kwny hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…