twenzetu china. wala tusiumize moyo. kwani tangu waruhusu kwenda marekani kuna watanzania wangapi wameenda marekeni? na wangapi wameenda china. tafakari.Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Swali lako ligeuze kuwa jibu, liweke bold kwa herufi kubwa na kulipigia mstari.Nikuulize swali dogo tu watanzania zaidi ya 90% ambao wanaishi huko vijijini na mijini wakikosa internate , us dollar watalala na njaa?
Na Iwe Hivyo!Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Wakuu,

Ngoja tumuulize Samia...maana naona unajamba tu hapa mkuu...tusijechafua na wengineWewe tangu huu mwaka umeanza wamarekani wamekupa nini kwenye maisha yako mpaka Leo ukisema wakustopishie unakufa leo hii? Kumbe hii nchi ina watu wa hovyo sana
safi sanaWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Unaweza nini we mtwana?Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Tukifanya hivyo basi chanzo kikubwa za fedha za kigeni UTALII utakufa kwani asilimia kubwa ya watalii wanatoka Marekani.Alafu Russia na China hazipo.
Na sisi tuwapige Ban wamarekani kuna Kwetu
Hamia jukwaa la kulana kimasihara hapa siyo size yakoNgoja tumuulize Samia...maana naona unajamba tu hapa mkuu...tusijechafua na wengine
Si mlimtuma Rango na Majaliwa kwa Putin🤣 tulieni dawa ipenye kunakoWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Kwahiyo wewe hapa duniani umeona nchi ya kutegemea kwa biashara na Kila kitu ni marekani tu. Kwa taarifa Yako sasa biashara ya Tanzania na marekani hazifiki hata 1% sasa kama ulikua hujui. Tunafanya sana biashara na afrika mashariki middle east, china , Japan na uarabuni kwa uchache kwahiyo hao marekani wajiendee zao tu hakuna mwenye shida nao.Swali lako ligeuze kuwa jibu, liweke bold kwa herufi kubwa na kulipigia mstari.
Nchi haiongozwi na wananchi wa vijijini na mjini, nchi inaongozwa na mifumo. Ikitokea kuna mkwamo wa kufanya biashara kimataifa hao wanakijiji wako hawatauza korosho wala kahawa nje, wala madini, wala kupokea watalii, wala kuuza minofu ya samaki, wala mbao.
Hawatanunua nguo, serikali haitanunua dawa, mafuta hayatanunuliwa hivyo wakulima wako wa viazi watashindwa hata kuvileta masokoni wala kusafiri.
Ni wasio waelewa tu wanaodhani Tanzania inaweza ishi bila shida ikijifungia. Nchi hata chupi tu hatuwezi tengeneza unataka tuachane na Marekani. Hao wananchi wako mjini wanaotumia ARVs za bure kutoka Marekani wana hela ya kununua dozi maisha yao yote yaliyobaki duniani au ndio unataka waanze kukondeana mitaani?
Unaodhani hawawezi dhurika hao 90% ndio watakuwa wa kwanza kuonja joto la jiwe. Thamani ya shilingi iporomoke na imports ziwe adimu hapa kilo ya sukari iwe elfu 10, petroli lita iwe elfu 10 anayelia wa kwanza nani kati ya katibu wa CCM na mamantilie hapo Kakonko?
Sasa wambie wamarekani wasije Huwa wanafata nini huku?Kakudanganya nyani? (siyo nani). Unajua nchi zinazopekea watalii wengi wewe?
Mbona ishakosekana sana hiyo Dola hapa kipindi cha nyuma na tukae surviveUSD!
IMF na WB lazima ukopeshwe utake au usitake.. wanafanyaga vikao Kila mwaka kule Washington nchi zote za afrika mnaitwa halafu unatolewa mkeka wa Kila mtu anatakiwa kuchukua mkopo kiasi gani. Hata mwigulu katoka mwezi uliopita alikua huko huko.Nyie ndio hamna akili ambao mmeshindwa kutumia rasilimali zenu hadi viongozi wenu wanahangaika kutafuta mikopo na misaada.
Kwani hao WB na IMF ndio wanakuja kuwaomba wawakopeshe au ni nyie ndio mnaenda kulia lia njaa kutaka mikopo na misaada?
dawa za HIV mtatoa wapi nyie warafiKwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Wewe ni mjinga kweli kweli?Dawa za ARV kwa Watanzania unaweza kuzigharamia wewe na Mama yako?Kwani tusipoendhara marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Wale jamaa wakiamua watuzimie internet wanawezaWhatsApp, YouTube, Google
Pepsi, Coca-Cola
Visa card, Mastercard
Music, Movies
Vitabu