Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
twenzetu china. wala tusiumize moyo. kwani tangu waruhusu kwenda marekani kuna watanzania wangapi wameenda marekeni? na wangapi wameenda china. tafakari.
 
Nikuulize swali dogo tu watanzania zaidi ya 90% ambao wanaishi huko vijijini na mijini wakikosa internate , us dollar watalala na njaa?
Swali lako ligeuze kuwa jibu, liweke bold kwa herufi kubwa na kulipigia mstari.

Nchi haiongozwi na wananchi wa vijijini na mjini, nchi inaongozwa na mifumo. Ikitokea kuna mkwamo wa kufanya biashara kimataifa hao wanakijiji wako hawatauza korosho wala kahawa nje, wala madini, wala kupokea watalii, wala kuuza minofu ya samaki, wala mbao.
Hawatanunua nguo, serikali haitanunua dawa, mafuta hayatanunuliwa hivyo wakulima wako wa viazi watashindwa hata kuvileta masokoni wala kusafiri.

Ni wasio waelewa tu wanaodhani Tanzania inaweza ishi bila shida ikijifungia. Nchi hata chupi tu hatuwezi tengeneza unataka tuachane na Marekani. Hao wananchi wako mjini wanaotumia ARVs za bure kutoka Marekani wana hela ya kununua dozi maisha yao yote yaliyobaki duniani au ndio unataka waanze kukondeana mitaani?

Unaodhani hawawezi dhurika hao 90% ndio watakuwa wa kwanza kuonja joto la jiwe. Thamani ya shilingi iporomoke na imports ziwe adimu hapa kilo ya sukari iwe elfu 10, petroli lita iwe elfu 10 anayelia wa kwanza nani kati ya katibu wa CCM na mamantilie hapo Kakonko?
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Na Iwe Hivyo!
 
Tatizo ni kwamba uchumi huu kwa sasa unategemea watalii na watapingua kwasababu kama hizi
 
Wewe tangu huu mwaka umeanza wamarekani wamekupa nini kwenye maisha yako mpaka Leo ukisema wakustopishie unakufa leo hii? Kumbe hii nchi ina watu wa hovyo sana
Ngoja tumuulize Samia...maana naona unajamba tu hapa mkuu...tusijechafua na wengine
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
safi sana
naomba pia waanze na mpendwa wetu
wampige BAN kuingia USA safari zimezidi mno.
kila siku kiguu na njia.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Si mlimtuma Rango na Majaliwa kwa Putin🤣 tulieni dawa ipenye kunako
 
Swali lako ligeuze kuwa jibu, liweke bold kwa herufi kubwa na kulipigia mstari.

Nchi haiongozwi na wananchi wa vijijini na mjini, nchi inaongozwa na mifumo. Ikitokea kuna mkwamo wa kufanya biashara kimataifa hao wanakijiji wako hawatauza korosho wala kahawa nje, wala madini, wala kupokea watalii, wala kuuza minofu ya samaki, wala mbao.
Hawatanunua nguo, serikali haitanunua dawa, mafuta hayatanunuliwa hivyo wakulima wako wa viazi watashindwa hata kuvileta masokoni wala kusafiri.

Ni wasio waelewa tu wanaodhani Tanzania inaweza ishi bila shida ikijifungia. Nchi hata chupi tu hatuwezi tengeneza unataka tuachane na Marekani. Hao wananchi wako mjini wanaotumia ARVs za bure kutoka Marekani wana hela ya kununua dozi maisha yao yote yaliyobaki duniani au ndio unataka waanze kukondeana mitaani?

Unaodhani hawawezi dhurika hao 90% ndio watakuwa wa kwanza kuonja joto la jiwe. Thamani ya shilingi iporomoke na imports ziwe adimu hapa kilo ya sukari iwe elfu 10, petroli lita iwe elfu 10 anayelia wa kwanza nani kati ya katibu wa CCM na mamantilie hapo Kakonko?
Kwahiyo wewe hapa duniani umeona nchi ya kutegemea kwa biashara na Kila kitu ni marekani tu. Kwa taarifa Yako sasa biashara ya Tanzania na marekani hazifiki hata 1% sasa kama ulikua hujui. Tunafanya sana biashara na afrika mashariki middle east, china , Japan na uarabuni kwa uchache kwahiyo hao marekani wajiendee zao tu hakuna mwenye shida nao.
 
Nyie ndio hamna akili ambao mmeshindwa kutumia rasilimali zenu hadi viongozi wenu wanahangaika kutafuta mikopo na misaada.

Kwani hao WB na IMF ndio wanakuja kuwaomba wawakopeshe au ni nyie ndio mnaenda kulia lia njaa kutaka mikopo na misaada?
IMF na WB lazima ukopeshwe utake au usitake.. wanafanyaga vikao Kila mwaka kule Washington nchi zote za afrika mnaitwa halafu unatolewa mkeka wa Kila mtu anatakiwa kuchukua mkopo kiasi gani. Hata mwigulu katoka mwezi uliopita alikua huko huko.
 
Hapo mtu kama JPM lazima angeretaliate. Unaretaliate namna gani katika situation kama hii?
 
Back
Top Bottom