Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hakuna nchi iliyopigwa marufuku watu wake kusafiri kwenda Marekani.Sioni kama kuna la msingi huko, hata bidhaa zao huwa mbaya mbaya, We lost nothing, NCHI AMBAYO UCHUMI WAKE UNANYANYUKA BILA MSAADA WAO HAIWI RAFIKI WAO.
ARV. Vile vidonge vya kufubaza makali ya Ukimwi na chanjo mbalimbali. Mtakufa Kama kuku. Huo ni mfano mmj katika mengiTupe mfano wa hivyo vitu ambavyo tukivikosa Marekani hatuwezi kuvipata China au popote pale duniani.
Marekani hawatoi pesa ya SGR, pesa za SGR ni partly za ndani na partly mkopo toka China Exim.Kwani bila wao kuna chochote unaweza mkuu?
Wanakupa ARV, chandarua, madawa na kuna baadhi ya vyoo vya primary vina logo yao kuwa wametusaidia
Wanakupa pesa ujenge hizi SGR
Wanakupa pesa za mikakati ya kuzuia na kupunguza umasikini, barabara, madaraja na vivuko
Kiufupi mkuu hakuna jambo lolote utafanya bila wao.
KWA HIYO WATANZANIA TUTARUHUSIWA KURUDI MAREKANI BAADA YA 4 YEARSTrump atakaa miaka minne ataondoka
Actually sio kwamba wanaokoteza taarifa, ila tatizo lao ni kukosa comprehension skills, yaani wamesoma lakini hawajaweza kupata ufahamu wa walichokisoma.Sema watu mnapenda kuokoteza hio sio taarifa official ya serikali ni tafiti na prediction imefanywa
ARV zinatengezwa nchi nyingi sana hata hapa Africa achilia mbali India na kwengineko.ARV. Vile vidonge vya kufubaza makali ya Ukimwi na chanjo mbalimbali. Mtakufa Kama kuku. Huo ni mfano mmj katika mengi
Alafu wanawaza wizi tu na kuhujumu all the time.Mnaweza nn zaidi ya utekaji na kuuana?
Unga wa" DONOR" ambao walimaanisha msaada tena kilikuwa kipindi cha utawala wa Kennedy Jr.Hujjui historia ya hii nchi
Tanzania ilipopata baa la njaa miaka ya 1970s to 1980s nchi gani ilikuja kuwasaidia?
Hamkuletewa UNGA WA DONOR kutoka Marekani kujiokoa na baa la njaa?
Mbona haya ni mambo mepesi sana mkuu kujielimisha
Ni maamuzi yao,wanajua waoKWA HIYO WATANZANIA TUTARUHUSIWA KURUDI MAREKANI BAADA YA 4 YEARS
LAKINI KWA NINI TUMEPIGWA BAN?
KUNA BAYA LIPI TUMELIFANYA?
Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Hakuna impactWakuu,

Hollow rhinkingWanapenyezewa taarida kuhusu hali ya usalama tz, royal tour pekee haitoshi, halaf ni sehem ndogo sana ndio ilifikiwa
Unahangaika kupanda mbegu kwenye mwamba ukitegemea ikue, you're just wasting your energy.Usikute umejifungia Ukerewe hapo huelewi connections walizonazo Watanzania wenzako na Marekani kibiashara.