Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Tupe mfano wa hivyo vitu ambavyo tukivikosa Marekani hatuwezi kuvipata China au popote pale duniani.Jiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Kutekana kuuana kudhulumu kura.Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Kwani bila wao kuna chochote unaweza mkuu?Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Vitu vingi vya nje tunavyo tumia watanzania asilimia kubwa vinatoka nchi za asiaJiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Marekani ndio pepo ya Waarabu na Waafrika wanapotibuana kwenye vitongoji (vinchi) vyao wanapoishi..Kwani usipoingia marekani utakufa?
Well asia in large part ni manufacturer (japo si wote) , ila anaetuma hizo kazi kuwa manufactured ni mzungu, pesa inarudi kwa mzungu kwa asilimia kubwa somehow.Vitu vingi vya nje tunavyo tumia watanzania asilimia kubwa vinatoka nchi za asia
The ban "is likely" not the ban "will". Badilisha heading iakisi uhalisia.
Then why bado kuna waafrika wana dream kwenda huko?Sawa vitoke kwao. Kwani ni lazima kwenda marekani? Itaathiri vipi uchumi wa nchi kama tusipoenda?
Mnaweza nini kwamfano?Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
I didnt say tutuakufa, kaka kwenda nje ingekuwa ni kuepuka kifo, basi africa nzima ingeshahamia ulaya. Kuna more than kifo dunia hiiKwa hiyo walitupiga ban tusiende kwao tutakufa sio? Acha uzuzu
Lazima kuna sababu. Lakini why tulazimishe? Tunaweza kwenda nchi nyingineThen why bado kuna waafrika wana dream kwenda huko?
Kwani nchi gani inatutaka? Kote tunaforce tu mama!Lazima kuna sababu. Lakini why tulazimishe? Tunaweza kwenda nchi nyingine
Mama anaupiga mwingi.Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Usikute umejifungia Ukerewe hapo huelewi connections walizonazo Watanzania wenzako na Marekani kibiashara.Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
WhatsApp, YouTube, GoogleTupe mfano wa hivyo vitu ambavyo tukivikosa Marekani hatuwezi kuvipata China au popote pale duniani.
Haya makapuku yakikaa huko kijijini kwao Madongo kuinama wala hata hayajui faida za ushirikiano kati ya nchi zilizo endelea na zinazo endelea.Una miaka mingapi chifu ?
Hakuna kitu bora kama mahusiano na watu au taifa kwa taifa, hali ya usalama nchini ni tete sasa si unakuwa unaleta taharuki kwa watu.