Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
CCM mbele kwa mbeleeee
 
Tanzagiza
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Tanzania inaweza nini zaidi ya ufisadi, wizi, ubadhirifu wa mali za umma, mauaji na siasa za uchawa?

Kuna chochote mmefanikiwa kufanya wenyewe bila msaada wowote ule wa kifedha au kiutaalamu kutoka kwa wazungu?

Au ushakunywa wanzuki zako huko kijijini kwenu Samvula chole, unaona kwamba wewe ni tajiri sana?
 
Wanadai uhakika wa ugali upo mkuu Mungu kawaletea mvua za kutosha na mlenda unajiotea tu🤣🤣
 
Afrika ndio Pepo ya wazungu , waarabu na wayahudi . Starehe ipo Africa Kila mwaka wazungu wanatunza fedha ili waje kufurahia maisha afrika. Huko marekani waafrika wanaenda kutafuta maisha tu
Nchi zinazoongoza kwa utalii duniani ni Ufaransa, Spain, US, Italia, Uturuki , Mexico, Uingereza, Ujerumani, Ugiriki na Australia. Sisi tunazidiwa hata na Saudi Arabia na Israel ambazo watu wanaenda kuhiji dini zao zaidi.
 
Na hawa hawa ndio wanazaa hovyo hovyo kama mapanya.

Yakisha kula ugali yakashiba, Hakuna kingine wawazacho zaidi ya ngono na kuzaa hovyo.

Halafu wanakuja kuandika pumba hapa.
Na kipindi cha mavuno kuna kuwa na wimbi la wajawazito wapya🤣
 
Back
Top Bottom