Tanzania yatangaza Hifadhi za Taifa mpya tatu na kufanya Hifadhi Taifa kufikia 22

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Sehemu ya Pori la Akiba la Selous lenye ukubwa wa Kilometa za mraba 30,893 limegeuzwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kama alivyoagiza Rais Magufuli

Hifadhi hiyo inaanza rasmi Novemba 19 baada ya Rais Magufuli kuweka saini kwenye Tangazo la kuanzisha Hifadhi hiyo na na Bunge kupitisha azimio la kuanzisha kwa Hifadhi hiyo

Aidha, kufuatia azimio la Bunge la kupisha Hifadhi ya Taifa ya Kigosi na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla, Rais Magufuli amesaini matangazo ya kisheria ya kuanzishwa rasmi kwa Hifadhi hizo

Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ina ukubwa wa Kilometa za mraba 7,460 na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla ina ukubwa wa Kilometa za mraba 3,865. Kutokana na hayo Tanzania inafikisha jumla ya Hifadhi za Taifa 22

522AD5E1-E5CF-4842-96FC-33296D659B17.png
 
Aidha, kufuatia azimio la Bunge la kupisha Hifadhi ya Taifa ya Kigosi na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla, Rais Magufuli amesaini matangazo ya kisheria ya kuanzishwa rasmi kwa Hifadhi hizo

Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ina ukubwa wa Kilometa za mraba 7,460 na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla ina ukubwa wa Kilometa za mraba 3,865. Kutokana na hayo Tanzania inafikisha jumla ya Hifadhi za Taifa 22

Zipo katika Kata, Wilaya, Mkoa gani?
 
Kitakwimu Tanzania ina... Hifadhi nyingi sana zingine hata majina hayajulikani ila ni upumbavu wa watu wachache hatufaidi rasilimali zetu
 
Kwa Selous sawa lakini waongeze ulinzi kwa wanyama, nimeishi maeneo Fulani ya Mirui, Mlembwe Mpiga Miti nk. Tangu nifike huko nilikuwa sijawahi kuona nyama ya pumbamilia, nyati swala na hata tembo lakini huko vyote vinapatikana ,nilishangaa sana kuona mtu anatembeza nyama ya tembo bila hofu, serikali iimarishe ulinzi kwa wanyama hawa, huko kula mboga za majani ni nadra
 
Hata mimi nilifika huko niliambiwa mboga za majani ni chakula ya mbuzi!
 
Nyoka wa maajabu aliyekuwa anaabudiwa huko makurugusi chato sasa amekuwa nyoka wa hifadhi ya kigosi.

Wiki ijayo nikafanye utalii wa ndani. Sijui kama nitaruhusiwa kwenda na unga, mtama, pombe na mbuzi ili nikafanye ibada kwa Mungu nyoka😈😈😈
 
Kwa Selous sawa lakini waongeze ulinzi kwa wanyama, nimeishi maeneo Fulani ya Mirui, Mlembwe Mpiga Miti nk. Tangu nifike huko nilikuwa sijawahi kuona nyama ya pumbamilia, nyati swala na hata tembo lakini huko vyote vinapatikana ,nilishangaa sana kuona mtu anatembeza nyama ya tembo bila hofu, serikali iimarishe ulinzi kwa wanyama hawa, huko kula mboga za majani ni nadra
Tulioishi Liwale miaka hiyo tumekula sana Nyama tamu za porini.
Wewe hukuwa mwindaji haramu wa tembo kule?
 
Kwa Selous sawa lakini waongeze ulinzi kwa wanyama, nimeishi maeneo Fulani ya Mirui, Mlembwe Mpiga Miti nk. Tangu nifike huko nilikuwa sijawahi kuona nyama ya pumbamilia, nyati swala na hata tembo lakini huko vyote vinapatikana ,nilishangaa sana kuona mtu anatembeza nyama ya tembo bila hofu, serikali iimarishe ulinzi kwa wanyama hawa, huko kula mboga za majani ni nadra
Nadhani ndio nia moja wapo ya kuzifanya hifadhi.
Ikiwa mapori yanaruhusiwa kuwinda ila hifadhi ni marufuku.
 
Sehemu ya Pori la Akiba la Selous lenye ukubwa wa Kilometa za mraba 30,893 limegeuzwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kama alivyoagiza Rais Magufuli

Hifadhi hiyo inaanza rasmi Novemba 19 baada ya Rais Magufuli kuweka saini kwenye Tangazo la kuanzisha Hifadhi hiyo na na Bunge kupitisha azimio la kuanzisha kwa Hifadhi hiyo

Aidha, kufuatia azimio la Bunge la kupisha Hifadhi ya Taifa ya Kigosi na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla, Rais Magufuli amesaini matangazo ya kisheria ya kuanzishwa rasmi kwa Hifadhi hizo

Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ina ukubwa wa Kilometa za mraba 7,460 na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla ina ukubwa wa Kilometa za mraba 3,865. Kutokana na hayo Tanzania inafikisha jumla ya Hifadhi za Taifa 22

View attachment 1270135
Hizi Ugala na Kigosi ziko wapi..???
 
Kwa Selous sawa lakini waongeze ulinzi kwa wanyama, nimeishi maeneo Fulani ya Mirui, Mlembwe Mpiga Miti nk. Tangu nifike huko nilikuwa sijawahi kuona nyama ya pumbamilia, nyati swala na hata tembo lakini huko vyote vinapatikana ,nilishangaa sana kuona mtu anatembeza nyama ya tembo bila hofu, serikali iimarishe ulinzi kwa wanyama hawa, huko kula mboga za majani ni nadra
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom