digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Jangiri mkuu huyu hapa nawenzake
Sema shughuli za kichama cha majangiri
Sema shughuli za kichama cha majangiri
Cna takwimu zao unaweza nisaidia hapoDubai ina hifadhi ngap za taifa?
Morocco je?Cna takwimu zao unaweza nisaidia hapo
Yaani mmetengeneza account nyingine ya kigogo twitter ili mumuangushe hahaha hakika amewashika pabaya sana na hamumuweziJangiri mkuu huyu hapa nawenzake View attachment 1270805
Fedha kwenye utalii ni mipango na mikakati ya muda mrefu ikiwemo kuwekeza katika Miundombinu wezeshi, elimu kwa watoa huduma na sera (eg. viza)Safi Sana japo hili tangazo lilichelewa sana Selou National park itakuwa na ukubwa Sawa na Rwanda,Hongkong,Singapore na Macau Kwa pamoja.Linapakana na Ruvuma,Mtwara,Pwani,Morogoro Lindi na Iringa.Tuna sababu kubwa na uwezo wa kutengeneza fedha na ajira
Jangiri mkuu huyu hapa nawenzake View attachment 1270805
Sehemu ya Pori la Akiba la Selous lenye ukubwa wa Kilometa za mraba 30,893 limegeuzwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kama alivyoagiza Rais Magufuli
Hifadhi hiyo inaanza rasmi Novemba 19 baada ya Rais Magufuli kuweka saini kwenye Tangazo la kuanzisha Hifadhi hiyo na na Bunge kupitisha azimio la kuanzisha kwa Hifadhi hiyo
Aidha, kufuatia azimio la Bunge la kupisha Hifadhi ya Taifa ya Kigosi na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla, Rais Magufuli amesaini matangazo ya kisheria ya kuanzishwa rasmi kwa Hifadhi hizo
Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ina ukubwa wa Kilometa za mraba 7,460 na Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla ina ukubwa wa Kilometa za mraba 3,865. Kutokana na hayo Tanzania inafikisha jumla ya Hifadhi za Taifa 22
View attachment 1270135