Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

U tofauti mwingine wamasai wa Tanzania ni wapole, wastaarabu na wakarimu sana!!! Wanasalamu yao baba yeyooo au mama yeyooo!!! Ila wamasai wa Kenya ni wanavurugu, jeuri na wana kiburi cha kujifanya wanafedha. Wamasai wa Kenya wengi ni katili na hata kiswahili chao si kama cha wamasai wa Tanzania.

Tunawaambia wamasai wa Kenya ondokeni haraka sana katika Mipaka ya nchi yetu rudini kwenu kama mlimaliza majani huko kwenu msititafute ubaya. Kama mnataka kuona vita Endeeleeni kutuzoea maana mnataka kuleta mapigo kama ya Idd Amini


Tumewavumilia sana muda mrefu mnatuona watanzania mazuzu vivutio vyetu mnajitamgazia vyetu kisha wazungu mnawashusha na ndege Kenya mnawaleta kwa kutembea na magari Tz hela zote zinabakia kwenu, sasa Royal Tour imewapa kiweweee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na Bado mengi mazuri yanakuja kaaeni kwa kutulia ni wakati wa Tanzania, ni wakati wa Watanzania!!!
 
Nimefarijika sana na hatua hii. Hongera sana Rais SSH Na Serikali yako Kwa ujumla. Wakenya walikuwa wanatuchezea sana Ngorongoro, wamejaza mifugo yao hadi carrying capacity ya hifadhi ikawa ndogo, wakatengemeza NGOs za kuwalinda kwa mgongo wa Masai wa Ngorongoro. Ng'ombe wanalishwa Tanzania wanauzwa Kenya Kwa kile kinachoitwa 'bei nzuri'. Wamasai wakabaki vibarua wa kuwachungia mifugo yao. What a hell?

Wakaona haitoshi, Wakenya kwa kushirikiana na Rwanda wakaanza kupush agenda ya free movement of cattle for grazing at the EAC level. Lengo nii Wakenya kuingia kupitia Kaskazini, wanyarwanda waingie kupitia Ngara. Nashukuru Senior officials wa Watanzania waliliona hilo kwenye mikutano ile (2020/21 SCAFS Meeting), wakawashauri vizuri Makatibu Wakuu na Waziri wa sekta ya mifugo Tanzania na Tanzania (Waziri Wa Mifugo) ilitupilia mbali agenda ile kabla haijafika kwenye EAC council of Ministers (full council). Ile agenda ingepita leo Wakenya wasingeguswa Loliondo. Serikali iwe macho na deliberations na directives zote zinazopitia EAC na EALA. Hapa kutumia utaalam na vyombo vya usalama ni muhimu sana kama nchi.
Pathetic
 
Back
Top Bottom