Tanzania yatia kiberiti vifaranga 6,400 kutoka Kenya

Tanzania yatia kiberiti vifaranga 6,400 kutoka Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndio mwendo wa Afrika Mashariki, mbele kwa mbele hehehehe hadi raha aisei.....

Hongera Wabongo....

Wakenya ambao kutwa mnataka tupigane ndani ya nchi hii muna cha kujifunza hapa, hamna pa kukimbilia, tumezungukwa na majirani waliojawa chuki balaa, tusipoijenga nchi yetu na kuwa wazalendo, tutanyooshwa mpaka basi.

Tutie bidii na kukuza uchumi wetu na kufanya yetu ya ndani, nina uhakika kuanzia hapo tutajua umuhimu wa kuzingatia amani na kuishi kama ndugu ndani ya nchi yetu. Huko nje kuna fisi wanatusubiri balaa.

Source
Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti
 
Ndio mwendo wa Afrika Mashariki, mbele kwa mbele hehehehe hadi raha aisei.....

Hongera Wabongo....

22894226_1657109277686393_1466638348712681617_n.jpg

Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti

Kwa sasa huku Tanzania Kwetu hii siyo Habari Mkuu labda kawahabarishe Watu wa huko Kwenu Kericho, Isilii na Eldoret ambao hawajaijua.
 
Kwa sasa huku Tanzania Kwetu hii siyo Habari Mkuu labda kawahabarishe Watu wa huko Kwenu Kericho, Isilii na Eldoret ambao hawajaijua.

Kwa Wakenya ni habari mpya, maana kuna baadhi yetu ndio tunaipata.
Natamani Wakenya walione hili na kujifunza pakubwa, kwanza mijitu ambayo hupenda kutanganza vita ndani ya nchi, wajue siku wakiharibu nchi hawana pa kukimbilia, tuijenge nchi yetu na kudumisha amani maana tumezungukwa na majirani waliojawa mihemko ya chuki.

Aisei bora hata mngewalisha hao vifaranga sumu wafe kwanza kabla ya kuwatia viberiti.
 
Nyie Kenya si mumeacha kumpa Raila Urais?? Hasira zitaishia kwenye vifaranga vyenu...vikivuka boda tu vinachomwa moto...

Hehehe na ng'ombe za Wamaasai mbona hamkutia viberiti, kali ya mwaka.
 
Hawa Watu waliofanya hivi wapate wanachostahili kwake aliwapa vifaranga uhai
 
tfda au tra tunalinda afya za walaji tz, athari za kiuchumi vipi! Je kwa ndani vipi ,!!
 
Why wachome kumtia mtu hasara,wanaijua biashara ama wanaiskia,na mwingine kakopa huo mtaji sehemu! Acheni kutia wenzenu hasara!
 
Ndio mwendo wa Afrika Mashariki, mbele kwa mbele hehehehe hadi raha aisei.....

Hongera Wabongo....

Wakenya ambao kutwa mnataka tupigane ndani ya nchi hii muna cha kujifunza hapa, hamna pa kukimbilia, tumezungukwa na majirani waliojawa chuki balaa, tusipoijenga nchi yetu na kuwa wazalendo, tutanyooshwa mpaka basi.

Tutie bidii na kukuza uchumi wetu na kufanya yetu ya ndani, naomba hii habari ipostiwe kwenye mitandao yote ya kijamii ya Kenya, nina uhakika kuanzia hapo tutajua umuhimu wa kuzingatia amani na kuishi kama ndugu ndani ya nchi yetu. Huko nje kuna fisi wanatusubiri balaa.

22894226_1657109277686393_1466638348712681617_n.jpg

Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti
Wacha nikiweka Na fisi lakini dhuluma Na ukadamizaji wa Hali za msingi zipo Mimi. Wizi wa kura wazi halafu naambiwa niatia Dua za msani. Give justice and peace will follow. Heri nikapambane Na hao fisi. Lakini kwa mada yako Tanzania Wana Kijiji cha like sana. Sio mifugo, sasa ni vifaranga!!!!
 
Tulia uandike vizuri maana sijakuelewa unabwatuka kuhusu nini, mipovu inakutoka, unatetemeka vidole hadi haueleweki unachokiandika, shirikisha ubongo na unachoandika, wacha kujifanya kana kwamba wewe ndiye una jazba kuzidi wote.
Sidhani kama kuna sehemu nimetaja mambo ya kura, au siasa.

Ninachozungumza kuhusu ni wale mnaojiona wababe wa kuanzisha vurugu, mlianzishe mapema muone mtakavyobakwa na kuliwa kwenye nchi majirani mkikimbilia huko. Leo hii wanatia viberiti wanyama wenu bila huruma, kesho ya kesho muonekane mkivuka mpaka kwenda kwao huku mumebeba na watoto eti wakimbizi ndio muone chuki inafanana vipi.

Hii nchi lazima tujifunze kuishi kwa amani, na hili nalisema kwa milengo yote miwili, iwe Jubilee au NASA au NRM au hicho kingine wamejiita sasa.

Anayejifanya kuwa na hamaki zaidi ya wote basi alianzishe tena bila kukawia, ndio tutiwe akili sote baada ya muziki utakaoibuka.
 
Ndio mkome kabisa. Raila anawafany nyie kama wapumbavu.
 
Why wachome kumtia mtu hasara,wanaijua biashara ama wanaiskia,na mwingine kakopa huo mtaji sehemu! Acheni kutia wenzenu hasara!
Alikopa ili afanye biashara haramu??.Anavuna alichopanda.
 
Alikopa ili afanye biashara haramu??.Anavuna alichopanda.
Hasira zetu. Si kwenye mtaji wa huyo mmiliki. Bali kuwachoma moto Hao vifaranga. Vile vifaranga vimekosa nini.
Huu ni useng kama useng mwingine.
 
Hivyo vifaranga hata kama vingekuwa vinakatiza border kutoka Mexico kwenda Marekani vingepigwa moto tu! Wewe utaingiza vipi live birds nchi ya jirani bila utaratibu, kama vina ugonjwa je?
 
Hivyo vifaranga hata kama vingekuwa vinakatiza border kutoka Mexico kwenda Marekani vingepigwa moto tu! Wewe utaingiza vipi live birds nchi ya jirani bila utaratibu, kama vina ugonjwa je?
hivi tuna barrier za kuzuia ndege wa angani? au nao hawanaga magonjwa
 
Why wachome kumtia mtu hasara,wanaijua biashara ama wanaiskia,na mwingine kakopa huo mtaji sehemu! Acheni kutia wenzenu hasara!
Kma vilikua na magonjwa ambukizi je? Wamgevifanyaje
 
Back
Top Bottom