MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ndio mwendo wa Afrika Mashariki, mbele kwa mbele hehehehe hadi raha aisei.....
Hongera Wabongo....
Wakenya ambao kutwa mnataka tupigane ndani ya nchi hii muna cha kujifunza hapa, hamna pa kukimbilia, tumezungukwa na majirani waliojawa chuki balaa, tusipoijenga nchi yetu na kuwa wazalendo, tutanyooshwa mpaka basi.
Tutie bidii na kukuza uchumi wetu na kufanya yetu ya ndani, nina uhakika kuanzia hapo tutajua umuhimu wa kuzingatia amani na kuishi kama ndugu ndani ya nchi yetu. Huko nje kuna fisi wanatusubiri balaa.
Source
Vifaranga vya kuku 6,400 vyapigwa kiberiti