Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwisho ushafika....Ni baada ya kutoka sare ya bao 1- 1 na timu ya Mauritius huku Angola ambao
walikuwa wanafukuzana nao kwa karibu wakitoka sare ya bila kufungana na
Malawi. Mechi ya Robo fainali watakutana na SOUTH AFRICA. Kila laheri Vijana.
umenena mkuuWalikuwa kama wana kideri chenye mdondo, stars hii kwa kweli ingawa imeingia robo fainali ila hamna kitu kabisa, sioni cha kujivunia!!
Toa iyo bendera maana huna uzalendo kabsaaHao wanarudi home jmapili hakuna namna... Hawashawishi kabisaa
Juzi walicheza mpira mbovu sana.Kwa mpira niliouona wakicheza dhidi ya Angola juzi, sina matumaini hata ya kupata sare na Bafanabafana.
Vv
Labda walete kikosi cha pili, lakini wakikileta kilichoiua Nigeria kwao wala hatutoki. Tuache kujidanganya. Mauritius tu, ulimi nje.South africa hawatishi kivile, tutawafunga tu hata mbili
Usemalo ni kweli kabisa, safari yetu katika michezo bado ni ndefu.Kwa mpira niliouona wakicheza dhidi ya Angola juzi, sina matumaini hata ya kupata sare na Bafanabafana.
Vv