John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 379
- 1,412
Kama unaongea na mama vile kumbe unacomment tu😂😂😂😂😂Hebu serikali lipien ndege ikachukue watu wenu maana kikianza kunuka haya ambayo mnaandika hayana ishu vuta picha adui anajibu mashambulizi analipua vituo mlivyo tenga kuficha watu si mnajua nguvu ya nyuklia lakini?
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imewataka watanzania walioko Ukraine kama wanafunzi, wafanyakazi na wafanyabiashara kuwa watulivu kipindi hiki cha mzozo wa Ukraine na Urusi
Wameshauriwa kufuata maelekezo yanayotolewa na Ukraine kwa raia, na wanafunzi kufuata maelekezo ya uongozi wa vyuo. Aidha wametakiwa kuendelea kuwasiliana na Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden kwa kuwa ndio unawakilisha Ukraine
Aidha serikali inaendelea kufuatilia hali za watanzania walioko huko lakini hadi sasa hakuna mtanzania aliyepata madhara yoyote
Kijana unataka hiyo bomberdia ifike liniBadala wapeleke bombadia kuwaokoa watu wao, wanajiongelesha tu.
Mkuu hivi ilikuwa ni rahisi kumshawishi MTANZANIA aondoke Ukraine bila hata ya 100% ya dalili za vita ?!!!Wakati nchi za magharibi zinawambia raia wake waondoke sisi tulikuwa wapi.
tatizo putin keshateka anga lote la ukraine. Kwasasa ndege ikijipitisha tu inaliwa kichwa. Sasa Tanzania nayo haitaki kula hasara ya ndege ambayo bado ni mpya kabisa hata mwaka hazijafikisha.Hebu serikali lipien ndege ikachukue watu wenu maana kikianza kunuka haya ambayo mnaandika hayana ishu vuta picha adui anajibu mashambulizi analipua vituo mlivyo tenga kuficha watu si mnajua nguvu ya nyuklia lakini?
Hakika mkuu...ndege zinasafiri vipi kipindi cha vita?!!!tatizo putin keshateka anga lote la ukraine. Kwasasa ndege ikijipitisha tu inaliwa kichwa. Sasa Tanzania nayo haitaki kula hasara ya ndege ambayo bado ni mpya kabisa hata mwaka hazijafikisha.
... "sisi ni taifa huru; hatupangiwi", yamesikika hayo yakitamkwa huko corridor za Lumumba.Wakati nchi za magharibi zinawambia raia wake waondoke sisi tulikuwa wapi.
Kwani ile intelijencia ya Sirro kumbe huwa ni magumashi tu?Mkuu hivi ilikuwa ni rahisi kumshawishi MTANZANIA aondoke Ukraine bila hata ya 100% ya dalili za vita ?!!!
Eti eeh 🙄Putin analinda Aman luhansk na donesky ambako baado hata Vita yenyewe kuanza..hakuna kitisho kikuubwa..kyiev Pana Amani tele
Wakodi si kuna ubalozi huko wawasiliane naotatizo putin keshateka anga lote la ukraine. Kwasasa ndege ikijipitisha tu inaliwa kichwa. Sasa Tanzania nayo haitaki kula hasara ya ndege ambayo bado ni mpya kabisa hata mwaka hazijafikisha.
Hebu serikali lipien ndege ikachukue watu wenu maana kikianza kunuka haya ambayo mnaandika hayana ishu vuta picha adui anajibu mashambulizi analipua vituo mlivyo tenga kuficha watu si mnajua nguvu ya nyuklia lakini?