Tanzania yatoa tamko la muongozo kwa Watanzania waliopo Nchini Ukraine

Tanzania yatoa tamko la muongozo kwa Watanzania waliopo Nchini Ukraine

Hii nchi ina maajabu.

Wana chuo wako kwenye mahandaki

Simu zimeshazima chaji

Hawana pesa hawana chakula.

Hata wakati wa covid ilikuwa late late ikafikia watu kufungiwa.

What's kipau mbele it's expo trade.

Walipelekwa na serikali?

Serikali kila siku iwe inaenda kuchukua watu kila kona. Mbona hamlalamiki mtu akikwamba ndani ya nchi serikali ikamchukue au walio nje ni bora zaidi sababu wapo nje?

Anga la Ukraine limefungwa hizo ndege zinatua wapi?

Kujifananisha nyie na mataifa mengine ni sawa na kumlaumu baba yako kwanin hakununulii Ferrari sababu Bakhressa kamnunulia mwanae ilhali unajua fika uwezo wa baba yako.
 
Bora tamko hili toka Wizarani linatia moyo kuliko yake maelezo ya Ubalozi yaliyotolewa jana ya kuwataka wazazi wa watoto wanaosoma huko kufuatilia hatma ya watoto wao.
 
Walipelekwa na serikali?
Kwa kuwa nalipa kodi na inaingia serikali naamuru wakachukuliwe haijalishi walipelekwa na serikali au wenyewe , wote ni watanzania wenzetu wakifa mtaenda chukua mait mbv
 
Tamko liko lightly tu kipindi cha COVID -19 watanzania hawakuchukuliwa wakati wenzetu Kenya hapo tu walifuata watu wao.
 
Kwa kuwa nalipa kodi na inaingia serikali naamuru wakachukuliwe haijalishi walipelekwa na serikali au wenyewe , wote ni watanzania wenzetu wakifa mtaenda chukua mait mbv

Kwahiyo serikali kila siku iwe inaenda kuchukua watu kila kona. Mbona hamlalamiki mtu akikwama ndani ya nchi serikali ikamchukue au walio nje ni bora zaidi kuliko wa ndani?

Anga la Ukraine limefungwa hizo ndege zinatua wapi?

Kujifananisha nyie na mataifa mengine ni sawa na kumlaumu baba yako kwanini hakununulii Ferrari sababu Bakhressa kamnunulia mwanae ilhali unajua fika uwezo wa baba yako.
 
Yote sawa kwa life la tz na watz je unaonaje ikiwa unae muongelea hapa na kukujibu ndio huyo mtoto wa Bakhressa mana hiyi ni mitandao hatufahamihani

Ipo hivi unapoamua kutetea wenzio usiangalie matabaka,ndugu yangu

Haijalishi unalala njaa au unakula unamiliki mali au maskini kikubwa tuwatetee watz wenzetu pumzi ndio uthaman kuliko hizo bwebwe unaOngelea hapa

Na usije ukaon ulivyo ww wote tuko hivyo hebu tujitahidi kuheshimiana kama binadamu na kama watz
 
Back
Top Bottom