Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

Acha sifa za kijinga, hakuna rais aliyewahi kuzuia watalii kuingia humu nchini. Kama watalii wameongezeka huo ni uhalisia wa utalii duniani na sio hizo hadaa kuwa ni rais kafungua nchi.
 
Samahani kwa swali langu, naomba kujua Natalie wangapi wameingia Tanganyika na wangapi wameingia Zanzibar... Na mapato ya utalii hua yanagawanwaje?
 
Samahani kwa swali langu, naomba kujua Natalie wangapi wameingia Tanganyika na wangapi wameingia Zanzibar... Na mapato ya utalii hua yanagawanwaje?
Tanganyika siijui ,by the way DRC ndiko Kuna Jimbo linaitwa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…