Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM ni kusanyiko la majitu majinga haswaNi akili mbovu kuendelea kuunga mkono CCM .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni kusanyiko la majitu majinga haswaNi akili mbovu kuendelea kuunga mkono CCM .
Kutwa yanasifia ujinga haya majingaLow thinking capacity, jibu hoja matusi ya nini sasa, inaonekana uliachwa bado mdogo sana
Eti kwa akili hizi nawao nao wanataka kua viongozi mbeleniKutwa yanasifia ujinga haya majinga
Acha sifa za kijinga, hakuna rais aliyewahi kuzuia watalii kuingia humu nchini. Kama watalii wameongezeka huo ni uhalisia wa utalii duniani na sio hizo hadaa kuwa ni rais kafungua nchi.Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.
Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1..
Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.
========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.
Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.
The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm
My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.
Mapinga pinga on works for Lissu.Nyie washirikina acheni utapeli, sisi tuliozaliwa kaskazini tunajua utalii ulivyokuwa kabla ya COVID 19, hammsaidii Rais kukaa mnampa sifa za kipuuzi, alishindwa nini kuwaleta wakati wa COVID 19? Haya kawaleta nani alifunga watalii wasije?
Ya mazeri wako sindio nzuri mkuu??.Natumia anus Yako Mkuu
Acha matusi kwani huwezi kutetea matangopori bila kutukana ?Natumia anus Yako Mkuu
Samahani kwa swali langu, naomba kujua Natalie wangapi wameingia Tanganyika na wangapi wameingia Zanzibar... Na mapato ya utalii hua yanagawanwaje?Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.
Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1..
Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.
========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.
Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.
The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm
My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.
HakikaU$enge mtupu
Upewe nyota na maua.Haraka haraka tu, nikajua ni Lucas mwashamba,kumbe leo ni ww ndugu
Mali zenu zinauzwa 😁😁👇👇Kweli ni ushindi wa Samia wa kupora mali za watanganyika na kuwagawia waarabu. Maana ongezeko hilo la watalii linawanufanisha zaidi waarabu waliogawiwa mbuga zetu za wanyama, kuliko Taifa letu.
Mafisadi wamejipanga kutajirika kupitia rasilimali za nchi ya Wajinga wa Tanganyika.
Tanganyika siijui ,by the way DRC ndiko Kuna Jimbo linaitwa TanganyikaSamahani kwa swali langu, naomba kujua Natalie wangapi wameingia Tanganyika na wangapi wameingia Zanzibar... Na mapato ya utalii hua yanagawanwaje?
Inahusikaje na mada?Hofu/woga
Njaa/ umaskini
Tamaa.
Hivi vitu ndivyo vinawaumiza vijana wengi wa Tz na huo ndio mtaji wa watawala.
Ilifungwa awamu ya 5inchi ilifungwa wapi na lini?
😂😂😂😂🤣🤣
Alahu akbaru