ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Samahani kwa swali langu, naomba kujua Natalie wangapi wameingia Tanganyika na wangapi wameingia Zanzibar... Na mapato ya utalii hua yanagawanwaje?
Huo utalii una faida gani kwa mwananchi mmoja mmoja?Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.
Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1.
View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6
Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.
========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.
Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.
The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm
My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.
View: https://www.instagram.com/p/DFgIjV5tsCu/?igsh=OGRrNTR5cnA0YjM3
Wewe ni 🚮🚮,
Trump ana Msaada upi Kwa Tanzania?
Jibu swali,Trump ana Msaada gani wa Fedha hapa Tanzania zaidi ya program ya USAid na Pepfar ambazo hutolewa Kwa njia ya NGOs?Hata Mheshimiwa Samia unayemtetea akiona hii comment atakuone wewe ni Mpumbavu, Hivi huwezi Kuwa chawa na Bado ukahifadhi akili yako?
Wewe ni mbulula yaani hujui faida ya Utalii Kwa mtu mmja mmja.?Huo utalii una faida gani kwa mwananchi mmoja mmoja?
HaterChawa
Akili ni nywele ulitaka watalii waje kipindi Cha mlipuko wa magonjwa?Nyie washirikina acheni utapeli, sisi tuliozaliwa kaskazini tunajua utalii ulivyokuwa kabla ya COVID 19, hammsaidii Rais kukaa mnampa sifa za kipuuzi, alishindwa nini kuwaleta wakati wa COVID 19? Haya kawaleta nani alifunga watalii wasije?
Jibu swali,Trump ana Msaada gani wa Fedha hapa Tanzania zaidi ya program ya USAid na Pepfar ambazo hutolewa Kwa njia ya NGOs?
Mwisho nimtetee Samia Kwa Ajili gani? Kwani Kuna kesi? Namfisia Kwa kazi nzuri Wacha upuuzi
Huna hoja huwezi jibu hoja 🚮🚮Wewe ni takataka, useless, garbage, stupid, ass h
Sasa mnajifisia kitu gani?Akili ni nywele ulitaka watalii waje kipindi Cha mlipuko wa magonjwa?
Mkuu hii ni non sense kwangu, nimekuuliza swali la msingi umelijibu negatively nikaishia hapo...
Wewe kukujibu ni kupoteza energy na mda naona unauliza maswali ya kipuuziMkuu hii ni non sense kwangu, nimekuuliza swali la msingi umelijibu negatively nikaishia hapo...
Labda nikuulize tena kama utajibu... Hao watalii walioingia wana faida kwa upande gani wa Muungano, Tanganyija au Zanzibar... Shortly Tanganyika wameingia wangapi na Zanzibar wameingia wangapi??? Na mapato ya utalii hugawanywaje??
Tunapiga kelele na kusifia watalii wengi lakini je wengi wameingia nchi gani??? Maana utalii sio swala la muungano. Ni sawa na usifie Africa mashariki imepokea watalii wengi kweli mwaka huu... sasa wewe Tanzania wamekufaidisha nini??? The same applies hao watalii wengi wameingia Tanganyika au Zanzibar?
Sio kupoteza energy huna majibu... never post a #&%%& u don't even have guts to defend..Wewe kukujibu ni kupoteza energy na mda naona unauliza maswali ya kipuuzi
Sasa tunapata fedha nyingi,embu tuepuke aibu kuomba fedha na misaada kutoka Marekani kwa TrumpSera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.