Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.

Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1.

View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6

Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.

========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.

Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.

The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm

My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.

View: https://www.instagram.com/p/DFgIjV5tsCu/?igsh=OGRrNTR5cnA0YjM3

Huo utalii una faida gani kwa mwananchi mmoja mmoja?
 
Hata Mheshimiwa Samia unayemtetea akiona hii comment atakuone wewe ni Mpumbavu, Hivi huwezi Kuwa chawa na Bado ukahifadhi akili yako?
Jibu swali,Trump ana Msaada gani wa Fedha hapa Tanzania zaidi ya program ya USAid na Pepfar ambazo hutolewa Kwa njia ya NGOs?

Mwisho nimtetee Samia Kwa Ajili gani? Kwani Kuna kesi? Namfisia Kwa kazi nzuri Wacha upuuzi
 
Nyie washirikina acheni utapeli, sisi tuliozaliwa kaskazini tunajua utalii ulivyokuwa kabla ya COVID 19, hammsaidii Rais kukaa mnampa sifa za kipuuzi, alishindwa nini kuwaleta wakati wa COVID 19? Haya kawaleta nani alifunga watalii wasije?
Akili ni nywele ulitaka watalii waje kipindi Cha mlipuko wa magonjwa?
 
Jibu swali,Trump ana Msaada gani wa Fedha hapa Tanzania zaidi ya program ya USAid na Pepfar ambazo hutolewa Kwa njia ya NGOs?

Mwisho nimtetee Samia Kwa Ajili gani? Kwani Kuna kesi? Namfisia Kwa kazi nzuri Wacha upuuzi

Wewe ni takataka, useless, garbage, stupid, ass h
 
Mkuu hii ni non sense kwangu, nimekuuliza swali la msingi umelijibu negatively nikaishia hapo...

Labda nikuulize tena kama utajibu... Hao watalii walioingia wana faida kwa upande gani wa Muungano, Tanganyija au Zanzibar... Shortly Tanganyika wameingia wangapi na Zanzibar wameingia wangapi??? Na mapato ya utalii hugawanywaje??

Tunapiga kelele na kusifia watalii wengi lakini je wengi wameingia nchi gani??? Maana utalii sio swala la muungano. Ni sawa na usifie Africa mashariki imepokea watalii wengi kweli mwaka huu... sasa wewe Tanzania wamekufaidisha nini??? The same applies hao watalii wengi wameingia Tanganyika au Zanzibar?
 
Wewe kukujibu ni kupoteza energy na mda naona unauliza maswali ya kipuuzi
 
Sio kupoteza energy huna majibu... never post a #&%%& u don't even have guts to defend..

Uchawa ukizidi akili ya kuhoji inalala unakua kunguni kabisa
 
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.

Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1.

View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6

Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.

========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.

Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.

The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm

My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.

View: https://www.instagram.com/p/DFgIjV5tsCu/?igsh=OGRrNTR5cnA0YjM3

Sasa tunapata fedha nyingi,embu tuepuke aibu kuomba fedha na misaada kutoka Marekani kwa Trump

Ikiwezekana na mikopo chefu chefu tuachana nazo.
 
Wamevunja rekodi ya Nani?
Kuvuka Malengo uliyojiwekea sio kuvunja rekodi.

Mnavichaka vingi vya kujificha nyie aisee
 
Misaada,Kuuza raslimali zetu na mikopo ya hovyo ni aibu. Sasa kama watalii wameongezeka tujitahidi tujitegemee!

Tukikopa tukope kwa ajili ya miradi ya kimkakati mfano SGR

Trump atamdhalilisha chura kiziwi sana kupitia hii misaada.
 
Attachments

  • 5944590-a1305d6ca4ca5a4af2f86b656e6a30d1.mov
    11.1 MB
Back
Top Bottom