Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

upande wa pili nasikia pia tz imevunja rekodi ya kutembeza bakuli nje kwa trump na mabeberu
 
Nchi yetu inavituko sana.Yaani milioni Tano Hadi wanashika mabango kufurahia..Ona misiri
 

Attachments

  • Screenshot_20250204-092225.jpg
    297 KB · Views: 1
Sasa kama watu walikua lock down, baada ya kufunguliwa mipaka si lazima watoke kuzunguka?

Mfano mtaani kwako unafanya biashara ya kuuza maji, ikatokea wiki nzima maji yamekatika, siku yakirudi si kutakua na mafuriko ya watu kuja kwako kuchota maji? Lakini baada ya muda itakua normal.


Hii ndio sawa na unachokisema mkuu.
 
Safi but M5 bado ndogo. Watalii wa nje peke yao ndo angalau wawe M5 halafu sisi wa ndani tupachafue kabisa hata kwa 10m.
 
Kwa nini kipindi cha Jiwe na JK mlikuwa hamuwaweki kweny hesabu wanaoitwa watalii wa ndani??
 
Safi but M5 bado ndogo. Watalii wa nje peke yao ndo angalau wawe M5 halafu sisi wa ndani tupachafue kabisa hata kwa 10m.
Kwa nini kipindi cha nyuma watalii wa ndani walikuwa hawawekwi kwenye hesabu?
 
Reactions: Tsh
Kwa nini kipindi cha nyuma watalii wa ndani walikuwa hawawekwi kwenye hesabu?
Sijajua mkuu. Pengine ni kampeni ya kuonyesha umuhimu wa watu wa ndani au pengine idadi ilikuwa ndogo sana au pengine ni kuboost idadi ionekane kubwa ungozi upate sifa n.k suala la muhimu ni uhalisia wa data na tunapotaka kufika.
 
Nchi yetu inavituko sana.Yaani milioni Tano Hadi wanashika mabango kufurahia..Ona misiri
Ndio lazima washike mabango Kwa sababu miaka 2 iliyopita tulikuwa chini ya 3mln.

Kuna Nchi zinafurahia 500k
 
Kwa nini kipindi cha nyuma watalii wa ndani walikuwa hawawekwi kwenye hesabu?
Sio kweli wewe ndio ulikuwa hufuatilii ,cheki kwenye Bajeti zote uone kama hawapo.
 
Hakuna faida yoyote kwa walala hoi
Wanajimilikisha wao tu
Wananchi maisha yao yako taabani
Wakati nchi imejaa maziwa na asali
 
Sera za Shari za Utawala uliokuwepo na pia kutowahudhuria mialiko ya majirani au kunimuika na wenzie.

On top of that kupora hela za wafanyabiashara wakakimbia na ndio maana uwekezaji uliporomoka
Je, ulishawahi kukemea hayo enzi hizo?
 

Nani kawadanganya hizi data zinasaidia nchi yetu ilivyo kubwa? Kama tuna madarasa Dar, haina maaana Katavi au Kigoma kila shule ina madarasa na vyoo.

Tujikite kuijenga nchi yetu. Bado ina uhitaji mkubwa sana wa maendeleo. Nyinyi mnataka tujikite kwenye kuimba sifa za watu ili muendelee kula kupitia siasa.

Ukiangalia nchi zilizokataa democrasy kule West Africa wanajeshi wanazitwaa, ni sababu ya haya haya mambo ya uongo uongo, halafdu watu wanazidi kuwa maskini.

Waswahili wanasema anayelala usimuamshe, ukimwamsha utalala wewe...endeleeni kutembelea upepo wa hizo data sijui zinatoka wapi
 
Safari ya kujenga Nchi ni pamoja na kuvutia uwekezaji kama huo unaoleta pesa.

Sasa usipojiponhesa Kwa malengo na kuweka mengine unategemea nini?
 
Hakuna kama Samia mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…