Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.

Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1.

View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6

Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.

Screenshot 2025-02-03 082758.png
========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.

Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.

The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm

My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.

View: https://www.instagram.com/p/DFgIjV5tsCu/?igsh=OGRrNTR5cnA0YjM3
 
Kweli ni ushindi wa Samia wa kupora mali za watanganyika na kuwagawia waarabu. Maana ongezeko hilo la watalii linawanufanisha zaidi waarabu waliogawiwa mbuga zetu za wanyama, kuliko Taifa letu.

Mafisadi wamejipanga kutajirika kupitia rasilimali za nchi ya Wajinga wa Tanganyika.
 
Sawa ila namba hazidanganyi na ndio maana huwezi wataja hao mafisadi.

Bado hujasema Hadi useme RC Makonda: Samia aongeza Mapato ya Utalii Arusha kutoka Bln 310 Hadi Trilioni 2.7, VAT kutoka Bln 37 hadi Bln 336. Royal tour imekuwa mkombozi
 
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.

Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1..

Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.

View: https://x.com/XHNews/status/1886018499723608179?t=69pemCjznNY-KBy8_SFW9Q&s=19

Elimu ✔️
Maji ✔️
Utalii ✔️
Miundombinu ya Barabara,viwanja vya ndege & Bandari ✔️
Umeme✔️
Afya ✔️
Demokrasia ✔️
Ajira ✔️
Uwekezaji na Biashara ✔️
Viwanda ✔️
Kilimo ✔️
Diplomasia ✔️
Sanaa na Michezo ✔️

My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.

Soma zaidi Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

Ni akili mbovu kuendelea kuunga mkono CCM .
 
Low thinking capacity, jibu hoja matusi ya nini sasa, inaonekana uliachwa bado mdogo sana
Umeukiza natumia kiungo gani kufikiri? Ndio najibu natumia anus Yako.

Hapo Kuna hoja au swali? Jibu nimekupa kama hutaki Baki na jibu lako kichwani.
 
Nyie washirikina acheni utapeli, sisi tuliozaliwa kaskazini tunajua utalii ulivyokuwa kabla ya COVID 19, hammsaidii Rais kukaa mnampa sifa za kipuuzi, alishindwa nini kuwaleta wakati wa COVID 19? Haya kawaleta nani alifunga watalii wasije?
 
Back
Top Bottom