tanzania yawakilisha East Africa


More land means more resources (considering most of Tanzania is very fertile and receives very high rainfall). More resources means higher capability to construct infrastructure. Kenya tungepewa hizo mashamba mnazosema ni disadvantage sahii tungekua tunakimbizana na Afrika Kusini. Imagine the average person in Kenya having access to 200ha of fertile land with lots of rain. Hakungekua na maskini hapa. Kila mtu angekua na nyumba ya mawe.
 
Nitabadilisha urai niwe mTZ sasa. Ninunue shamba kubwa niwe tajiri
 
Unafurahi nini wakati I see Kenya in that list too. Shameful.
 

Ufara gani huu unabonga, ati hakungekua na umaskini, umaskini ni suala mtambuka sana bwashee, marekani kuna maskini. Unabonga maneno mob yenye dhumuni la kuweka taswira kwamba wabongo wavivu sana, lots of rain? Unapaswa tambua kwamba Tz kuna mikoa mikavu kama kaskazini kwenu, mikoa yenye kupata mvua ndio ina wenyeji wachapakazi wanaolisha taifa hili na mataifa mengine wanunuzi kama Kenya, Malawi, Zambia, Congo etc huimport mazao tokea hiyo mikoa.

Ati more resources, as if your country doesn't have resources, na bado mnaibiwa, example your SGR.

Nyang'au bhana, acheni kujifanya wajuaji sana
 

Blaza, unapaswa tambua serikali ya ccm imepokea nchi ikiwa changa sana kuliko serikali ya kanu, muingereza aliwekeza zaidi Kenya kuliko Tanzania, hii inamaanisha kwamba serikali yenyu imepokea nchi ikiwa na longer road networks, better health, educational etc facilities kushinda Tz, nikikuwekea picha za mikoa za 1970 na za sasa hivi, utashangaa. Watu huku tumeanza kupata Tv 1999, matajiri kabisa wale wamepata Tv 1990's.
Am telling you, we're catching up faster.
 
Wikipidea?? You should know these NGOs give wrong info so that they can be funded. All for the dollar. That is why they inflate figures
Please will you stop keep on keeping giving lame and fake excuses on the data!!!??? The source of the data is not the whistle blowers.
 
We do not have dollar billionaires as per Forbes. But we have many dollar millionaires. Same Forbes. We also have many middle class population. Proves we are competitive, no monopoly. An average Kenyan has better life than an average Tanzania.
That is a wishful thinking.... much of kenyans wealth are centralised to the few people like Uhuru, Dalamare (sijui nimepatia jina) et at. the rest of you are just are just witnessing how wenye kenya wanavyokula nchi.
 

1970 Tanzania's GDP was slightly higher than Kenya. Congo's GDP was 5 times that of Kenya. But we have passed them all!!
 
Sijui aliyetoa hio dhana alikua akiionea wapi. Muingereza alijenga Uganda (the crown of the British colonies) zaidi ya vile alijenga Kenya na tanzania. The Northern corridor na central corridor railways zilijengwa kuenda Uganda. At 1963, Dar was larger than Nairobi.

Dar 1960s



Nai 1960s


Length of paved roads in Kenya grew from just 1500km at independence to around 20,000 now
http://roadsforwater.org/wp-content...cal-economy-of-road-construction-in-Kenya.pdf

Sikatai kuwa you guys aren't catching up, in fact I'd really like to see us all almost at par. But whoever lied to you that Kenya was built by the British and is stuck... Just to give you an example, kenya imeongeza about 5500m of paved roads and 600km of rail since 2014, largely thanks to devolution and a megaproject (SGR)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…