NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Wewe unajua, and that is because nchi ina ardhi kubwa mnoo, kuprovide service kwa kila maeneo Tz, haswa rural areas ni vigumu sana. Lakini sasa hivi ni 2017, hiyo data naona imeandikwa 2013, miaka mitatu iliyopita kuna lots of improvement going on in rural Tz , umeme, barabara, maji, afya etc zimekuwa upgraded, mtu atuletee ya 2017 au 2016
mjionee improvement. Acheni ku orgasm kwa 2013 data. We're catching up faster.
More land means more resources (considering most of Tanzania is very fertile and receives very high rainfall). More resources means higher capability to construct infrastructure. Kenya tungepewa hizo mashamba mnazosema ni disadvantage sahii tungekua tunakimbizana na Afrika Kusini. Imagine the average person in Kenya having access to 200ha of fertile land with lots of rain. Hakungekua na maskini hapa. Kila mtu angekua na nyumba ya mawe.