tanzania yawakilisha East Africa

tanzania yawakilisha East Africa

Wewe unajua, and that is because nchi ina ardhi kubwa mnoo, kuprovide service kwa kila maeneo Tz, haswa rural areas ni vigumu sana. Lakini sasa hivi ni 2017, hiyo data naona imeandikwa 2013, miaka mitatu iliyopita kuna lots of improvement going on in rural Tz , umeme, barabara, maji, afya etc zimekuwa upgraded, mtu atuletee ya 2017 au 2016
mjionee improvement. Acheni ku orgasm kwa 2013 data. We're catching up faster.

More land means more resources (considering most of Tanzania is very fertile and receives very high rainfall). More resources means higher capability to construct infrastructure. Kenya tungepewa hizo mashamba mnazosema ni disadvantage sahii tungekua tunakimbizana na Afrika Kusini. Imagine the average person in Kenya having access to 200ha of fertile land with lots of rain. Hakungekua na maskini hapa. Kila mtu angekua na nyumba ya mawe.
 
Nitabadilisha urai niwe mTZ sasa. Ninunue shamba kubwa niwe tajiri
 
😀😀😀mod tried to delete this thread because it hurts his ego😀😀😀
finaly exposing yourself

tanzania finally leads east africa in something see below

Tree_Map_of_Extreme_Poverty_distribution_1.png

remove the log in your eye before pointing at the toothpick in your neighbors
Unafurahi nini wakati I see Kenya in that list too. Shameful.
 
More land means more resources (considering most of Tanzania is very fertile and receives very high rainfall). More resources means higher capability to construct infrastructure. Kenya tungepewa hizo mashamba mnazosema ni disadvantage sahii tungekua tunakimbizana na Afrika Kusini. Imagine the average person in Kenya having access to 200ha of fertile land with lots of rain. Hakungekua na maskini hapa. Kila mtu angekua na nyumba ya mawe.

Ufara gani huu unabonga, ati hakungekua na umaskini, umaskini ni suala mtambuka sana bwashee, marekani kuna maskini. Unabonga maneno mob yenye dhumuni la kuweka taswira kwamba wabongo wavivu sana, lots of rain? Unapaswa tambua kwamba Tz kuna mikoa mikavu kama kaskazini kwenu, mikoa yenye kupata mvua ndio ina wenyeji wachapakazi wanaolisha taifa hili na mataifa mengine wanunuzi kama Kenya, Malawi, Zambia, Congo etc huimport mazao tokea hiyo mikoa.

Ati more resources, as if your country doesn't have resources, na bado mnaibiwa, example your SGR.

Nyang'au bhana, acheni kujifanya wajuaji sana
 
Ndio,, nakubaliana nawe kua Tanzania ina ukubwa wa karibu mara mbili zaidi ya Kenya. Itailazimu Tz ijenge lami karibu zaidi ya mara mbili kwa urefu kuliko Kenya ili iweze kuunganisha watu idadi sawa na Kenya kwa lami. Lakini lazima ukubali kua CCM kazembea tu katika utendakazi ikilinganishwa na serikali ya Kenya. Hauwezi jitetea ikiwa Kenya, nchi karibu nusu ya Tanzania kwa ukubwa imejenga lami karibu mara mbili zaidi kuwaliko. Hakuna ukubwa apo, ni kutoleta maendeleo tu. Sasa utasemaje kuhusu Uganda ambayo ni karibu robo ya Tz kwa ukubwa lakini Tz kaendelea kuliko Uganda kimiundo msingi

Kisha data ni za 2013, miaka Tatu iliopita. Tanzanian gdp imekua kwa 6.5% on average while population imekua on average 3.2%. Hio ya maanisha qualitative growth imekua on average 3.3% kwa hivyo hizo data hazijabadilika sana. Na hio ndio shida na Africa, gdp growth is very high but so is population growth so very slow improvement in life quality

Blaza, unapaswa tambua serikali ya ccm imepokea nchi ikiwa changa sana kuliko serikali ya kanu, muingereza aliwekeza zaidi Kenya kuliko Tanzania, hii inamaanisha kwamba serikali yenyu imepokea nchi ikiwa na longer road networks, better health, educational etc facilities kushinda Tz, nikikuwekea picha za mikoa za 1970 na za sasa hivi, utashangaa. Watu huku tumeanza kupata Tv 1999, matajiri kabisa wale wamepata Tv 1990's.
Am telling you, we're catching up faster.
 
Wikipidea?? You should know these NGOs give wrong info so that they can be funded. All for the dollar. That is why they inflate figures
Please will you stop keep on keeping giving lame and fake excuses on the data!!!??? The source of the data is not the whistle blowers.
 
We do not have dollar billionaires as per Forbes. But we have many dollar millionaires. Same Forbes. We also have many middle class population. Proves we are competitive, no monopoly. An average Kenyan has better life than an average Tanzania.
That is a wishful thinking.... much of kenyans wealth are centralised to the few people like Uhuru, Dalamare (sijui nimepatia jina) et at. the rest of you are just are just witnessing how wenye kenya wanavyokula nchi.
 
Blaza, unapaswa tambua serikali ya ccm imepokea nchi ikiwa changa sana kuliko serikali ya kanu, muingereza aliwekeza zaidi Kenya kuliko Tanzania, hii inamaanisha kwamba serikali yenyu imepokea nchi ikiwa na longer road networks, better health, educational etc facilities kushinda Tz, nikikuwekea picha za mikoa za 1970 na za sasa hivi, utashangaa. Watu huku tumeanza kupata Tv 1999, matajiri kabisa wale wamepata Tv 1990's.
Am telling you, we're catching up faster.

1970 Tanzania's GDP was slightly higher than Kenya. Congo's GDP was 5 times that of Kenya. But we have passed them all!!
 
Blaza, unapaswa tambua serikali ya ccm imepokea nchi ikiwa changa sana kuliko serikali ya kanu, muingereza aliwekeza zaidi Kenya kuliko Tanzania, hii inamaanisha kwamba serikali yenyu imepokea nchi ikiwa na longer road networks, better health, educational etc facilities kushinda Tz, nikikuwekea picha za mikoa za 1970 na za sasa hivi, utashangaa. Watu huku tumeanza kupata Tv 1999, matajiri kabisa wale wamepata Tv 1990's.
Am telling you, we're catching up faster.
Sijui aliyetoa hio dhana alikua akiionea wapi. Muingereza alijenga Uganda (the crown of the British colonies) zaidi ya vile alijenga Kenya na tanzania. The Northern corridor na central corridor railways zilijengwa kuenda Uganda. At 1963, Dar was larger than Nairobi.

Dar 1960s
3091804366_0e25aa1899_b.jpg

20886592.jpg.html

Nai 1960s
20886739.jpg.html

22502633.jpg.html

Length of paved roads in Kenya grew from just 1500km at independence to around 20,000 now
http://roadsforwater.org/wp-content...cal-economy-of-road-construction-in-Kenya.pdf

Sikatai kuwa you guys aren't catching up, in fact I'd really like to see us all almost at par. But whoever lied to you that Kenya was built by the British and is stuck... Just to give you an example, kenya imeongeza about 5500m of paved roads and 600km of rail since 2014, largely thanks to devolution and a megaproject (SGR)
 
Back
Top Bottom