Tanzania imeanzisha mandatory travel insurance kwa wageni wanaoingia Mainland Tanzania, hatua ambayo itaongeza gharama ya safari kwa baadhi ya international visitors.
Chini ya Insurance (Inbound Travel Insurance) Regulations, 2026, foreign visitors wanaolengwa watalipa USD44, takriban KSh5,700, kwa cover itakayokuwa valid hadi siku 92. Policy hiyo pia itaruhusu multiple entries ndani ya kipindi hicho.
Insurance hiyo itacover emergency medical treatment, medical evacuation, repatriation pamoja na loss of luggage. Mgeni anaweza kuinunua kabla ya safari au kwenye point of entry, na asiye na cover inayotakiwa anaweza kunyimwa kuingia nchini.
Lakini kuna exception muhimu.
Wakenya hawatalazimika kulipa Sh5,700 hiyo.
Regulations zime-exempt citizens na residents wa East African Community (EAC) pamoja na Southern African Development Community (SADC). Hivyo travellers kutoka Kenya na baadhi ya nchi jirani hawataathiriwa na requirement hiyo.
Cover hiyo itatolewa kupitia Tanzania’s National Insurance Corporation au insurers waliosajiliwa wanaofanya kazi kwa partnership na NIC.
Hatua hiyo inakuja baada ya Zanzibar kuanzisha mandatory insurance yake kwa foreign visitors mwaka 2024, pia kwa takriban USD44.