Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

Watumishi baada ya kutoka kwenye mei mosi na mambo yameenda mlama mmeamua kurudi na sizitaki mbichi hizi.
 
New Year
Mapinduzi
Karume Day
Muungano Day
Mei Mosi
Saba Saba
Nane Nane Day
Nyerere Day
Christmas Day
Boxing Day
Good Friday
Easter Monday
Eid El Fitr
Mauli day
id El Hajji[siku mbili]
Mapinduzi
Uhuru

ZIJAZO
1. Magufuli Day.
2. Mama Day

WANAOTUKOPESHA
1. USA=8
2. UINgereza =6
Hapo za kitaifa 7 tu, tena ingetakiwa ziwe 5, Karume day & mapinduzi ilitakiwa ziwe sherehe za Zanzibar pekee. Na Nyerere day & Uhuru day ziwe za Bara pekee
 
Naskia China hii siku ya wafanyakazi wao huwa na holiday ya siku 5. Hapo bado new year sijui huwa na siku ngapi. Mana wao wana new year yao
 
Hapo siku kuu zangu ni 3 tu, Eid lfitr, Lhajj na Mawlid nnabawi

Nashangaa sana kuna waislamu wanacelebrate mpaka siku za mapinduzi, muungano, uhuru na karume day, maana yake hapo umekubaliana na mauwaji na mateso dhidi ya waislamu nchini Zanzibar dhidi ya makafiri wa Uganda na Tanzania kwa ujumla, namashaka sana wakisaidiwa na waislamu kuuwa waislamu wenzao. Huko walipo wanakipata wanachostahili.
Tupe reference ya hii: Mawlid nnabawi kama sikukuu. mi nakupa reference ya Eid lftir na Eid l-adhuha


Katika Sunnah, Anas bin Maalik (Radhwiya Allaahu ‘anhu) amesema: ''Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuja Madiynah na walikuwa wana siku mbili ambazo walikuwa wakipumzika na kustarehe na kucheza. Akasema: ((Hizi ni siku gani?)) Wakasema: "Ni siku ambazo tulikuwa tukicheza na kustarehe katika Ujahiliya". Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: ((Allaah Amekupeni zilizo bora kuliko hizo; Yawmul-Adhwhaa ['Iydul-Adhwhaa] na Yawm Al Fitwr ['Iydul-Fitwr] )) [Abu Daawuud]
 
Naskia China hii siku ya wafanyakazi wao huwa na holiday ya siku 5. Hapo bado new year sijui huwa na siku ngapi. Mana wao wana new year yao
Wakiingia kazini hakuna habari ya Yanga kupewa ushindi wa bure, Wema sepetu tako limeshuka, Mange anatafutwa ila ni kazi kazi,
 
Back
Top Bottom