Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

Watumishi baada ya kutoka kwenye mei mosi na mambo yameenda mlama mmeamua kurudi na sizitaki mbichi hizi.
 
Hapo za kitaifa 7 tu, tena ingetakiwa ziwe 5, Karume day & mapinduzi ilitakiwa ziwe sherehe za Zanzibar pekee. Na Nyerere day & Uhuru day ziwe za Bara pekee
 
Naskia China hii siku ya wafanyakazi wao huwa na holiday ya siku 5. Hapo bado new year sijui huwa na siku ngapi. Mana wao wana new year yao
 
Tupe reference ya hii: Mawlid nnabawi kama sikukuu. mi nakupa reference ya Eid lftir na Eid l-adhuha


Katika Sunnah, Anas bin Maalik (Radhwiya Allaahu ‘anhu) amesema: ''Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuja Madiynah na walikuwa wana siku mbili ambazo walikuwa wakipumzika na kustarehe na kucheza. Akasema: ((Hizi ni siku gani?)) Wakasema: "Ni siku ambazo tulikuwa tukicheza na kustarehe katika Ujahiliya". Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: ((Allaah Amekupeni zilizo bora kuliko hizo; Yawmul-Adhwhaa ['Iydul-Adhwhaa] na Yawm Al Fitwr ['Iydul-Fitwr] )) [Abu Daawuud]
 
Naskia China hii siku ya wafanyakazi wao huwa na holiday ya siku 5. Hapo bado new year sijui huwa na siku ngapi. Mana wao wana new year yao
Wakiingia kazini hakuna habari ya Yanga kupewa ushindi wa bure, Wema sepetu tako limeshuka, Mange anatafutwa ila ni kazi kazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…