Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!


Source : wikipedia
 
naifananisha Tz na walalahoi wa uswahilini hawana pesa lakini kwenye shughuli za sherehe huwa kosi wanachangia
 
Ungetuwekea na sikukuu za nchi nyingine uzi wako ungenoga sana.

Zaidi ya hapo ni majungu tu
 
Acha kele wewe,hapo tu sudan waislam wanafyekana kama hawana akili vile, islam Vs Islam,bure kabisa
 
Sorry, sio sikukuu.

Bali nilikusudia kupata live/ijaza kwa waislamu kote duniani

Je imethibiti kusoma Mawlid katika sunnah?

View: https://youtu.be/E6XEl0cUt9Y?si=FhpHwBrk2I5WqfOH
 
BAKWATA wameiambia serikali?
sisi tunajua ni sikukuu na wanetu wa kilamu wanatamalaki coco beach,bamba beach , peponi camp, pori la simba na baa zote zinafurika bila kusahau gesti house siku hizo huwa zinaja sana.

Waige nchi za kiislamu, mfano OMAN siku hiyo hakuna kazi, watu wanapumzika bila kufanya hayo uliyoyata, if kama nikweli!

Sisi bongo Mawlid wanaifanya sivyo, kitu ambacho hakipo kabisa, kama umeisikiliza hiyo clip niliyopost utaelewa.
 
Waige nchi za kiislamu, mfano OMAN siku hiyo hakuna kazi, watu wanapumzika bila kufanya hayo uliyoyata, if kama nikweli!

Sisi bongo Mawlid wanaifanya sivyo, kitu ambacho hakipo kabisa, kama umeisikiliza hiyo clip niliyopost utaelewa.
Wanasoma, sisi kwetu siku ya sikukuu ni kusutana na kuzua chaos na hasira kwa upande unao tofautiana nao.
 
Kabla hujaweka upupu wako ungefatilia kidogo basi hata marekan wao wanazo ngapi

Na ushamba wako umejuisha na ambazo ni grobal

Marekan kila mwezi wanazo za kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…