Akili 7
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 731
- 1,424
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i hope you never ever attended school
Utashangaa WB wakitoa mkopo,hao jamaa wa WB sio wa kuwategemea sana ilhali Baric kesha kaa sawa na MaguAlways on point sir, world bank is meeting this week, top of the agenda id wheather to give tz aid or not, and the answer is arleady known NO AID FOR TANZANIA
Always on point sir, world bank is meeting this week, top of the agenda id wheather to give tz aid or not, and the answer is arleady known NO AID FOR TANZANIA
Vipi tena,inakuwaje donor country tena tunaowakebehi kila siku mabeberu kwamba wanatuonea wivu kwa kujenga miradi mikubwa ambayo haijawahi kujengwa duniani kote tena tunatumia pesa zetu za ndani,tunaanza tena kulilia misaada?
Hiiiiii
Hata makaburu walitumia hoja hii ya kijinga ya "kuumia Wananchi maskini," kwa lengo ovu la kutaka kuendelea kwanyanyasa Waafrika. Vikwazo vilipokaza, waliachia akina Mandela wakaongoza kwa ukweli.Baada ya kuzuiwa hao kina zito na wenzake wamepata faida gani? Wanaoumia ni Watanzania. Kuna uchochezi mwingine duh
beth
Sent using Jamii Forums mobile app
Tajiri anakopo, muulize Dangote au Mo
Kuweza kusomesha watoto private pengine ingekuwa sababu tosha kutojali elimu wanayokosa watoto wa wengine.Watoto wa Zito wanasoma private, hizi pesa haziwasidii kaamua kuumiza watoto wa walala hoi. Hizi ndio siasa za upizani Tanzania
Kwa hiyo wewe mwenye akili unafikiri mwaka wa uchaguzi ndio serikali kutoa huduma za kielemu afya n.k husimama? Na mtu anaposimama anasema Tanzania ni tajiri wewe unawaza utajiri wa pesa tu! Tanzania ni tajiri kwa kuwa na natural resources nyingi ambazo hazijawa utilised. PiHonestly speaking kupitia mada kama hizi mtu unagundua moja kwa moja kuwa tuna watu wengi wenye akili zisizokidhi vigezo vya kuishi kwenye karne ya 21...!!
Why nchi iombe mikopo close to general elections? Why this sudden u-turn?
Hivi hawa ccm si ndo waliitangazia dunia kuwa elimu bure inawezekana tena kwa fedha zetu wenyewe... Na ukizingatia kuwa sisi ni dona kantre?
Hivi hawa ccm si ndo walitupilia mbali hoja na kilio cha wadau kuhusu kuendeleza elimu hasa ya watoto wa kike...?
Niliandika hapa Tabia za Zitt Kabw kuna Watu Walibisha na Wengine walielewa kwamba huyo Jamaa akili zake zinafikilia kufelisha nchi yetu na kuzifaulisha nchi za Wazazi wake wa asili.Tanzanian civil society groups have called on the World Bank to postpone the approval of a $500m loan to the government, saying President John Magufuli’s administration cannot be trusted to implement the project.
The programme, to be discussed at a meeting of the World Bank’s board on Tuesday, is designed to improve girls’ access to secondary education. But civil society leaders say it would be a mistake to give the sum to a government that has previously excluded pregnant girls from school and encouraged women to “free their ovaries” to boost the country’s population.
“Awarding $500m at this time would be a slap in the face of girls and women who are treated in this way, and will be taken as a full-throated endorsement of this violently misogynist regime,” the group, calling itself the Concerned Citizens of Tanzanian Civil Society, said in a letter sent last week to the World Bank board, seen by the Financial Times.
“We ask that the bank postpone the approval of the loan until the government puts in place clear measures to demonstrate . . . its commitment to gender equity and the rule of law.”
Mr Magufuli was elected in 2015 on a promise to tackle corruption and mismanagement but has spent more energy, his critics say, silencing those who question his methods. At the same time, he has gone on a self-styled campaign to clean up Tanzanian morals, placing him on a collision course with donors and rights groups.
In 2017 he enraged women’s rights campaigners by saying that pregnant girls would not be allowed to attend school, telling a rally: “As long as I am president no pregnant student will be allowed to return to school . . . After getting pregnant you are done.”
But the objectification of women under Mr Magufuli goes further, civil society leaders say. His government’s policies and public statements have created an environment that has led to an increase in violent attacks on women and girls, said one of the civil society leaders who drafted the letter, declining to be identified.
Tanzania’s government spokesperson did not respond to a request for comment.
A World Bank spokesperson confirmed the board had received the letter but added: “It would be premature to comment prior to consideration by our board.”
The World Bank delayed the project and other funding to Tanzania in 2018 due to issues including its treatment of women, a new law that made it illegal for anyone but the government to publish figures and threats to arrest members of the LGBT+ community.
When a separate $450m poverty-reduction programme was approved in September, the World Bank stated that the government had addressed many of those issues, although activists and opposition leaders say nothing has changed.
“Regrettably, it appears the bank’s approval of the . . . project in September only emboldened this government,” Zitto Kabwe, an opposition MP, said in his own letter to the World Bank, seen by the FT.
Mr Kabwe warned that the continued detention of journalist Erick Kabendera and the exclusion of candidates from November’s local elections demonstrated the government was not committed to reform. “This government can no longer claim to represent the Tanzanian people but rather the interests of a few,” he said.
Chanzo: Tanzanian activists ask World Bank to block $500m school programme
Nao CNN wameandika: World Bank to consider giving Tanzania $500 million education loan despite ban on pregnant schoolgirls
BBC: World Bank urged not to resume Tanzania funding
Kama nchin kama China inakopa je Tz !Hela ya elimu mnalilia mkopeshwe.
Hela ya ndege mnayo mnanunua cash.
Mna akili au mavi vichwani mwenu?
Tuachane na huyu Dume jikeKuweza kusomesha watoto private pengine ingekuwa sababu tosha kutojali elimu wanayokosa watoto wa wengine.
Sio unaishia kuwekeza nguvu kwenye kutaka hela zije, zikija umemaliza kazi, hata hujisumbui kujiuliza zimetumikaje. Ushindi kwako ni mkopo kutolewa, kushinda uchaguzi, yanayofuata hayakuhusu. Hiyo ndio siasa unayotaka tuwe nayo, sio kwa kuwa una imani na chama tawala (historia inakupa mifano ya kutosha kutokuwa na imani pofu hiyo), bali kwa kuwa wewe ni zao la mfumo wa elimu unaolenga kutengeneza wajinga en masse wanaopelekwa kama mifugo machungoni.
Pumbavu la Lumumba.Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge
Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika
Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote
Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi
Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria
Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Zitto Kabwe ni shog, mtaelewa kuna Muda nitapost kitu kwenye page zake Instagram, Facebook, Twitter , JF sitopost labda Wengine Wataiwasilisha na Vitu vingine vyake vya ovyo kwelikweli.Kisa choote hicho ni: wanafunzi waoneshane "show" za ngono watungishane mimba na waruhusiwe kuendelea na masomo ambayo serikali inatoa bure kwa kodi za wananchi.
Pamoja na kuruhusu mambo ya ushoga! Huo ni mkopo na utalipwa tena kwa riba na kutolewa kwenyewe sidhani kunatakiwa kuambatana na masharti mengine zaidi ya riba! Huu sio msaada ni mkopo! Kama ni msaada kwa gharama za ngono kwa watoto wa shule na ushoga bora waache!
Kwa hiyo wewe mwenye akili unafikiri mwaka wa uchaguzi ndio serikali kutoa huduma za kielemu afya n.k husimama? Na mtu anaposimama anasema Tanzania ni tajiri wewe unawaza utajiri wa pesa tu! Tanzania ni tajiri kwa kuwa na natural resources nyingi ambazo hazikawa utilised. Pia hata mataifa ambayo yameendelea huwa yanakopa world bank. Hoja kama hizi ndio zinasababisha mnaua upinzani hapa nchini sababu mnakuwa kama watoto