Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Always on point sir, world bank is meeting this week, top of the agenda id wheather to give tz aid or not, and the answer is arleady known NO AID FOR TANZANIA
Utashangaa WB wakitoa mkopo,hao jamaa wa WB sio wa kuwategemea sana ilhali Baric kesha kaa sawa na Magu
 
Vipi tena,inakuwaje donor country tena tunaowakebehi kila siku mabeberu kwamba wanatuonea wivu kwa kujenga miradi mikubwa ambayo haijawahi kujengwa duniani kote tena tunatumia pesa zetu za ndani,tunaanza tena kulilia misaada?

Yeye asiyejua aendako; kila njia kwake ni njia!
 
Baada ya kuzuiwa hao kina zito na wenzake wamepata faida gani? Wanaoumia ni Watanzania. Kuna uchochezi mwingine duh

beth

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata makaburu walitumia hoja hii ya kijinga ya "kuumia Wananchi maskini," kwa lengo ovu la kutaka kuendelea kwanyanyasa Waafrika. Vikwazo vilipokaza, waliachia akina Mandela wakaongoza kwa ukweli.
 
Watoto wa Zito wanasoma private, hizi pesa haziwasidii kaamua kuumiza watoto wa walala hoi. Hizi ndio siasa za upizani Tanzania
 
Watoto wa Zito wanasoma private, hizi pesa haziwasidii kaamua kuumiza watoto wa walala hoi. Hizi ndio siasa za upizani Tanzania
Kuweza kusomesha watoto private pengine ingekuwa sababu tosha kutojali elimu wanayokosa watoto wa wengine.
Sio unaishia kuwekeza nguvu kwenye kutaka hela zije, zikija umemaliza kazi, hata hujisumbui kujiuliza zimetumikaje. Ushindi kwako ni mkopo kutolewa, kushinda uchaguzi, yanayofuata hayakuhusu. Hiyo ndio siasa unayotaka tuwe nayo, sio kwa kuwa una imani na chama tawala (historia inakupa mifano ya kutosha kutokuwa na imani pofu hiyo), bali kwa kuwa wewe ni zao la mfumo wa elimu unaolenga kutengeneza wajinga en masse wanaopelekwa kama mifugo machungoni.
 
Kwa hiyo wewe mwenye akili unafikiri mwaka wa uchaguzi ndio serikali kutoa huduma za kielemu afya n.k husimama? Na mtu anaposimama anasema Tanzania ni tajiri wewe unawaza utajiri wa pesa tu! Tanzania ni tajiri kwa kuwa na natural resources nyingi ambazo hazijawa utilised. Pi
a hata mataifa ambayo yameendelea huwa yanakopa world bank. Hoja kama hizi ndio zinasababisha mnaua upinzani hapa nchini sababu mnakuwa kama watoto
 
Niliandika hapa Tabia za Zitt Kabw kuna Watu Walibisha na Wengine walielewa kwamba huyo Jamaa akili zake zinafikilia kufelisha nchi yetu na kuzifaulisha nchi za Wazazi wake wa asili.
Na pia niliandika kuwa jamaa anafanywa na wenzake mkasema eti your ban lifted until 26.
JF naomba tuelewane Zitt Kabw najua mnaweza mkawa na ushirikiano naye lakini kwa tabia zake atawaharibia kwenye label yenu ya Twaweza, TAMASHA n.k .
Jamaa hakuna rafiki yake ambaye hajamwachia gund..
Natamka kwa tabia zake huu ni Mwaka 2020, na anajua aliyoifanyia Halmashauri ya wilaya ya Kigoma akiwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chadema kabla hajafukuzwa, na alichokifanya kwa Manispaa ya Kigoma ujiji kuwalazimisha Wakandarasi kumpatia 10% kwa maelekezo kwamba anawapatia Madiwani wa Manispaa lakini aliipiga .
 
Tuachane na huyu Dume jike
 
Pumbavu la Lumumba.
 
Zitto Kabwe ni shog, mtaelewa kuna Muda nitapost kitu kwenye page zake Instagram, Facebook, Twitter , JF sitopost labda Wengine Wataiwasilisha na Vitu vingine vyake vya ovyo kwelikweli.
Huyu amelipw kutetea mashog wenzake na kuuhamasisha. Aliratibu kikao siku flani pale Aqwa Lodge Kigoma Mjini cha namna ya kutumia vilainish. Huyu Mtu ni Mtu hatariiiii kwa Watoto wetu Hafai hata kuigwa.
 


Jibu hoja ueleweke....
Why Now?? Why kutoka kwa wale wale mnaowatuhumu na kuwatukana kila siku??
Nyie si nchi tajiri? A dona kantre?
Why Now??
Please naomba usirukeruke kama bisi... Tulia na ulete majibu...!
 
USSR,
Unashindwaje kutofautisha MKOPO na MSAADA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…