Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Zifutwe...,usajili wao ni kinyume na wanavyofanya.
Hivi kwa mfano huo mkopo tukipewa au tukinyimwa wao watapoteza/watafaidika na nini?Ingawa faida ni kubwa kwa kuwa uwepo wa asasi hizo ni kwa ajili ya watu ambao asasi hizo ndio mtaji/mishahara yao.
Bora ukutane na Joka porini unaweza kulidhibiti au kulikimbia kuliko Joka lililo ndani mwako.....
"Inashangaza na ni mapema sana......"