Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Wapuuzi sana hawa wanajiita wa kiraia kumbe wanajal tumbo zao tuZifutwe...,usajili wao ni kinyume na wanavyofanya.
Hivi kwa mfano huo mkopo tukipewa au tukinyimwa wao watapoteza/watafaidika na nini?Ingawa faida ni kubwa kwa kuwa uwepo wa asasi hizo ni kwa ajili ya watu ambao asasi hizo ndio mtaji/mishahara yao.
Bora ukutane na Joka porini unaweza kulidhibiti au kulikimbia kuliko Joka lililo ndani mwako.....
"Inashangaza na ni mapema sana......"
Ugoro umekuharibu medulaMabeberu msitoe huo mkopo mpaka afute hiyo kauli yake ya kikatili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkopo gani wa kuhusisha ngono za watoto mashuleni to hell na mkopo wao.Eti Mara ohh ruhusuni ushoga ndio tuwakopeshe shenzi kabisaKisa choote hicho ni: wanafunzi waoneshane "show" za ngono watungishane mimba na waruhusiwe kuendelea na masomo ambayo serikali inatoa bure kwa kodi za wananchi.
Pamoja na kuruhusu mambo ya ushoga! Huo ni mkopo na utalipwa tena kwa riba na kutolewa kwenyewe sidhani kunatakiwa kuambatana na masharti mengine zaidi ya riba! Huu sio msaada ni mkopo! Kama ni msaada kwa gharama za ngono kwa watoto wa shule na ushoga bora waache!
Hivi huyu Zitto hajui programs za QT zipo kwa ajili nini?Wapuuzi sana hawa wanajiita wa kiraia kumbe wanajal tumbo zao tu
USSRView attachment 1335187
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mie hata book sipewi ,ila sisi ni matairi why tulilie mkopo?Huu sio msaada ni mkopo tena tunakopesheka! Wewe benki hata mkopo wa buku hupewi!
Kama beberu anaona manufaa ya kuwekeza kwenye elimu ya watoto wetu badala ya ndege then kuwa kibaraka wa beberu ni uamuzi wenye tija kuliko kuwa shabiki wa mtu anayeona ndege ni muhimu kuliko elimu ya watanzaniaKibaraka wa mabeberu
Hatutegemei mikopo ya mabeberu, tunajenga uchumi kwa pesa za ndani.... nchi hii ni tajiri.
Kwani wamewalazimisha kukopa?si mtumie zenu ili watoto wasizaliane mashuleniMimi nilijua ni msaada kumbe mkopo. Hawa wazungu wanatuona sisi punguani haiwezekani watoe mkopo wenye masharti ya kuruhusu watoto wazaliane wakiwa shuleni.
Huyu zitto ndo kibaraka wa mabeberu babalao! Kwa kutoa post kwenye mitandao (tayari kaishapata mkwanja analipwa na mabeberu) kuonyesha anaunga mkono "ngono" za watoto shuleni kupelekea watoto wetu ambao wengine hata kubalehe hawajabarehe wasome na wazazi. Kuna mapandikizi ya mabeberu nchi hii pasua kichwa!Hivi huyu Zitto hajui programs za QT zipo kwa ajili nini?
Kuwachanganya wanafunzi wazazi na wasio wazazi ni kuruhusu mimba mashuleni na kuibaka sheria inayowalinda watoto dhidi ya unyanyasaji wa kingono.
Naomba kumuuliza Ndugu.Zitto Kabwe "Hivi ana familia? na kama anayo Je watoto wake wanasoma katika shule hizi za Wanyonge?.
Hata tukipewa hao wanaonyimwa elimu na kuumia nao ni watoto wa Kitanzania piaBaada ya kuzuiwa hao kina zito na wenzake wamepata faida gani? Wanaoumia ni Watanzania. Kuna uchochezi mwingine duh
beth
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoeni sera za kibaguzi ili tu faida mnayotaka iwepoBaada ya kuzuiwa hao kina zito na wenzake wamepata faida gani? Wanaoumia ni Watanzania. Kuna uchochezi mwingine duh
beth
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu zoom sura ya Zitto na kuangalia vipele chini ya macho utafikiri ni sura ya nini? Anayoyaongea na kuyashabikia inaonyesha aina ya roho iliyo ndani yake
Kati ya watu ambao nikifanikiwa kuwa raisi wa nchi nitamueliminate within 24 hrs Ni ZITO KABWE.
Benki ya dunia sijui ndo wapuuzi au sisi ndo vilaza. Huwezi ona wanakupa mkopo mkubwa ujenge viwanda vidogo au uboreshe miundombinu ya kilimo mfano umwagiliaji. Wanatoa hela ambayo mpaka uje kuona faida yake ni baadae sana. Mfano hapa kwetu mtu anayekopa ili ajenge nyumba na anayekopa ili alime kwa umwagiliaji nani anarejesha hela mapema.