kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwangalia hanithi huyu hapa
Tulieni hivyo hivyo, kwani hizo hela zinaenda mifukoni mwemu mbona mna hasira hivi??
Donor kantri
Kwani tumegeukia misaada tena?Polepole aisoma barua ya Zitto kabwe iliyokuwa ikitakiwa kwenda ulaya, lengo kuu ya barua hii nikuomba kuinyima misaada nchi ya Tanzania.
. Barua ya Zitto kwenda Ulaya yavuja/Polepole aiweka hadharani https://youtu.be/M5keebyqPYA
Sent using Jamii Forums mobile app
taarifa zinasema anatafuta kukimbia nchi kama mkimbizi baada ya kuona future yake kisiasa tanzania hana sasa anatafuta sababu.Anatafuta nitoke vipi jamaa wa ulaya au marekani wanielewe
Polepole ni zaidi ya Chakubanga. Eti 'barua iliyokuwa ikitakiwa kwenda ulaya"? Barua imeshatua huko yeye anawavunga vuvuzela wake!Polepole aisoma barua ya Zitto kabwe iliyokuwa ikitakiwa kwenda ulaya, lengo kuu ya barua hii nikuomba kuinyima misaada nchi ya Tanzania.
. Barua ya Zitto kwenda Ulaya yavuja/Polepole aiweka hadharani https://youtu.be/M5keebyqPYA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tunataka misaada?
Anatafuta kick ya kutafuta ukimbizi ulaya au marekani ndio strategy yakePengine hii barua kavujisha mwenyewe ili awekwe ndani tuwape sababu Umoja was Ulaya na Marekan kisingizio cha kutuvuruga Mwaka huu wa Uchaguzi
Nadhani ni mkopo chief...sio msaada.ukiomba msaada ni muhisani akikumbusha utawala bora ni beberu
Kwakuwa ccm wanaakili Sana.. Yaani ndege wananunua kwa cash halafu Huduma za afya na elimu wanategemea mabeberu