Aisee ni Balaa, Huyu mwana chemistry sio mtu wa mchezo mchezoUsisahau pia alizindua Kiwanda kikubwa zaidi cha kisasa cha nyama na Samaki kinauza products zake nje ya nchi huko huko Mwanza na kinamilikiwa na mzawaMK254
One step at a time Buda meanwhile tukiendelea kuenjoy our fresh fruits. Nchi ya maziwa na asaliNchi ya viwanda mbona mkasahau zile za kukamulia juisi?πππ
π π Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?viwanda vya vyerehani vinne...blender juice companyππππebu letea hawa wazembe ile list ya car manufacturers waliofungua viwanda Kenya.kina ashok leyland, Vox Wagon, Nissan, Isuzu, Toyota..pia kuna viwanda vilivyofunguliwa toka nyanja mbali mbali..
wtf?π π Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?
You have nailed it brother, hakuna point ya kuenda stage 24 majority ya watu wako wangali wakiwa stage 6. Kunyans have nonsense ego of its kind kwa kweli. I always opt to be slow but sure and not the opposite, why go for car assembling yet can't find food for the starving tummiesπ π Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?
Halafu lina kaa mwaka bila kununuliwa mpaka Ruto aje anunue to boost his political image. Nimependa kiwanda cha kutengeneza tractors na magari ya zimamoto kilivyo anza kazi hapa bongo. Soko la uhakika lipo, soon waanze kutengeneza ambulance pia.[emoji16] [emoji16] Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?