REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
JPM yupo katika ziara kwenye Lake Zone ambapo amezindua Lakairo Ground of Industries
Kwenye eneo hilo kuna viwanda mbalimbali kama viwanda vya kutengeneza vifungashio (packaging lines) ๐ฆ kama mifuko, mabox, pia kuna viwanda vya kutengeneza steel wires pamoja na bidhaa nyingine za jikoni, vile vile kuna viwanda vya kutengeneza candies kama pipi na jojo za aina tofauti