Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ yazidi kurikodi idadi kubwa zaidi ya viwanda vipya vya wazawa

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ yazidi kurikodi idadi kubwa zaidi ya viwanda vipya vya wazawa

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
JPM yupo katika ziara kwenye Lake Zone ambapo amezindua Lakairo Ground of Industries

Kwenye eneo hilo kuna viwanda mbalimbali kama viwanda vya kutengeneza vifungashio (packaging lines) ๐Ÿ“ฆ kama mifuko, mabox, pia kuna viwanda vya kutengeneza steel wires pamoja na bidhaa nyingine za jikoni, vile vile kuna viwanda vya kutengeneza candies kama pipi na jojo za aina tofauti

Awamu hii ni ya kwetu na sisi wa Lake Zone.

Tulisahaulika sana.

Najua tena kabla ya mwaka huu kuisha, muheshimiwa anakuja na ziara nyingine kuzindua kingine tena.
 
Ikumbukwe ni miezi mitano tu JPM alizindua viwanda vingine vikubwa huko huko Kanda ya Ziwa

Viwanda vya kutengeneza mabati, chuma, mabomba, plastic products, packages, oil mills etc vyote hivi ni viwanda vya wazawa

MK254
 
Nchi ya viwanda mbona mkasahau zile za kukamulia juisi?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
viwanda vya vyerehani vinne...blender juice company๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ebu letea hawa wazembe ile list ya car manufacturers waliofungua viwanda Kenya.kina ashok leyland, Vox Wagon, Nissan, Isuzu, Toyota..pia kuna viwanda vilivyofunguliwa toka nyanja mbali mbali..
 
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?
 
๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?
You have nailed it brother, hakuna point ya kuenda stage 24 majority ya watu wako wangali wakiwa stage 6. Kunyans have nonsense ego of its kind kwa kweli. I always opt to be slow but sure and not the opposite, why go for car assembling yet can't find food for the starving tummies
 
[emoji16] [emoji16] Kiwanda kinaunganisha gari moja kwa mwezi?
Halafu lina kaa mwaka bila kununuliwa mpaka Ruto aje anunue to boost his political image. Nimependa kiwanda cha kutengeneza tractors na magari ya zimamoto kilivyo anza kazi hapa bongo. Soko la uhakika lipo, soon waanze kutengeneza ambulance pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom