Tanzania yazidi kuwavutia watu weusi duniani kote, wengi wachukua uraia wa Tanzania

Some things excite small kids and people who haven't experienced them.

Wacha kujiliwaza nani atarudi kwenye nchi ambayo is politically unstable, terrorism, crime and under American control?, hao wanaorudi ni wachache sana na hawana information ya nchi zingine za Africa, hasa Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Pengine wamevutiwa na udikteta wa serikali ya awamu ya 7
 

Can't you see they're moving? Who would move to a poor country like Tanzania?
 
Can't you see they're moving? Who would move to a poor country like Tanzania?
They need to be assured of their safety, food availability, politically stable country, higher economic growth, low poverty level with no slums, no terrorism and low crime rate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Fortunately, you're not them so you can keep your delusions to yourself.🤣
 
Utatombwa sasa na wewe kushobokea vitu vya watu. Mlima ni wenu kiaje?!
We choko unanitusi, hivi unanijua mi kiu ndani?....

Usiniletee upimbi Wa kibush, ukadhani ntaukaushia kuogopa ban....

We Nidiss tu, Rusha madongo kisha Jihami.....


Ntakuhanithi mkuu, hata Ukipaka mkongo hakisimami.....
 
Yaani ndiyo munaanza sahi? Kenya iko na expatriates wengi weusi, wazungu, wahindi kutoka dunia mzima ambao wamechukua uraia ya Kenya.
UN sahi inajengea wafanyakazi wake waliostaafu na wakachukuwa uraia ya Kenya nyumba zaidi ya 8000 Nairobi inaitwa Habitat heights.

Makampuni mengi ya kigeni yakija kenya, managers hawataki kutoka hata kampuni ikianguka . Michael Joseph, Bob collymore wote wali chukua uraia ya Kenya. Mzungu naye aliyetumwa kuongoza east african breweries kutoka UK pia yeye amechukua uraia ya Kenya.

Hii ushamba ya kushabikia vitu vidogo kama mbwa imepata mfupa inatia huruma.
 
Tofauti ni moja, Tanzania inavutia watu wa kiwango cha chini, ilhali Kenya inavutia wafanya biashara kwa wingi.
 
Buda tunazungumzia black diaspora ambao wamechoka kunyanyaswa wanatafuta nchi yenye mazingira mazuri kwa wao kurudi nyumbani Africa, hatuzingumzii wazungu au UN staff ambao wengi wao wanaishi maisha ya juu hawachanganyiki na raia wa kawaida.

Hawa black diaspora wanataka kuanza maisha mapya, wanatafuta nchi ambazo zitawapa amani na kujihisi wapo salama bila kubaguliwa, wanatafuta nchi zenye
1) Amani ya hali ya juu
2)Political stability
3)Unity and tranquility
4)No any type of racism or tribalism
5)Good economic growth
6)Big and arable land but cheap to acquire
7)Free of corruption
8) Free of crime or terrorism
 
Tofauti ni moja, Tanzania inavutia watu wa kiwango cha chini, ilhali Kenya inavutia wafanya biashara kwa wingi.
Umegeuza kichwa chini miguu juu, zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yamekuja Tanzania na watanzania waliokuja Kenya ni wafanyabiashara ndogondogo. Tanzania inaongoza ukanda huu katika kupokea FDI nyingi zaidi
 
Umegeuza kichwa chini miguu juu, zaidi ya makampuni 500 ya Kenya yamekuja Tanzania na watanzania waliokuja Kenya ni wafanyabiashara ndogondogo. Tanzania inaongoza ukanda huu katika kupokea FDI nyingi zaidi
Kweli Ujinga imekolea Tanzania. Ama ni utafiti ndiyo ngumu kwa watanzania kufanya.

i) 2019, Tanzania ilipokea FDI ya $1.1 billion ilhali Kenya ilipokea $2.9 billion piga hesabu ujue gani ni nyingi kati ya $1.1 billion na $2.9 billion. Hii FDI ya Kenya iliongozwa na Technology funding. (2019 'blockbuster' year for foreign investments in Kenya)

ii) Najua wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa katika east and central africa ikifatwa na Africa kusini. Makampuni ya Kenya yameajiri watu wengi afrika mashariki. Nyinyi kazi yenu ni kuchangia tu kwa omba omba, na wachuuzi wa soksi Gikomba.
 
Kama kawaida yenu hamna akili na hamjui lolote hapa duniani zaidi ya kupika data na kuiba pesa za nchi yenu, Kenya haijawahi kufikisha FDI ya $2B tangu mlipopata uhuru, FDI yenu mwaka 2019 ni $1.3B na inazidi kushuka mwaka hadi mwaka
Foreign investment in Kenya - Santandertrade.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…