Tanzania yazidi kuwavutia watu weusi duniani kote, wengi wachukua uraia wa Tanzania

Kama kawaida yenu hamna akili na hamjui lolote hapa duniani zaidi ya kupika data na kuiba pesa za nchi yenu, Kenya haijawahi kufikisha FDI ya $2B tangu mlipopata uhuru, FDI yenu mwaka 2019 ni $1.3B na inazidi kushuka mwaka hadi mwaka
Foreign investment in Kenya - Santandertrade.com

i) Kweli uwezo wa utafiti na masomo Tanzania ni kidogo , hiyo link inataja report ya UNCTAD amabayo yenyewe kati kati ya 2019(June) iliweka FDI ya Kenya kuwa $1.6 billion.

ii) Walioandika hiyo report ya $2.9 billion November 2019, ni Financial times- UK na British Chamber of Commerce, si Kenya , ama kiingereza ndiyo ngumu huelewi walichoandika hapo. Hawa UK wenyewe ndiyo wawekezaji wakubwa kabisa katika nchi ya Kenya, na wanajua pesa yote waliowekeza kenya kwa mwaka ya 2019

NB: Hii hapa tena soma report zote mbili kisha nagalia tarehe alafu rudi bila ushenzi mingi ya kitanzania. Wakati mwingine jaribu kufikiria siyo kuweka utanzania mingi iliyojaa udaku za kijiji na uwivu.

https://unctad.org/en/pages/newsdetails.aspx?OriginalVersionID=2109

2019 'blockbuster' year for foreign investments in Kenya
 
Alafu wacha ujinga yako ya list ya vitu vya upuzi ati wana tafuta chakula Tanzania. Hii hapa sikiza expats wenyewe wakisema kinachowavutia kuja Kenya

Buda tunazungumzia black diaspora ambao wamechoka kunyanyaswa wanatafuta nchi yenye mazingira mazuri kwa wao kurudi nyumbani Africa, hatuzingumzii wazungu au UN staff ambao wengi wao wanaishi maisha ya juu hawachanganyiki na raia wa kawaida.

Hawa black diaspora wanataka kuanza maisha mapya, wanatafuta nchi ambazo zitawapa amani na kujihisi wapo salama bila kubaguliwa, wanatafuta nchi zenye
1) Amani ya hali ya juu
2)Political stability
3)Unity and tranquility
4)No any type of racism or tribalism
5)Good economic growth
6)Big and arable land but cheap to acquire
7)Free of corruption
8) Free of crime or terrorism

Buda joto la jiwe, Black diaspora wamekuwa waki diversify from returning to West Africa. Siku hizi sio wote wanaofanya DNA test na kurudi nchi walizona usiano nao kama Siera Leon au Ghana. Wengi wamefanya research na wakaona pia Afrika Mashariki pia inaweza kuwa nyumbani. The Returnees ambao wamechagua Afrika Mashariki wanabahati sana na wamefanya hivyo kwa vigezo vingi mojawapo ikiwa ni cost of living na miundo msingi kama maji na umeme. Pia hawa African Americans wanaporudi Afrika hawapendi mambo ya white jesus na nchi zilizoja wahindi na wabeberu kwa biashara kwani hao ndio wanaowakandamiza nchi wanakotoka. Post ya kwanza iliyowekwa hapa jf kutokana na kupigwa risasi mara saba J Blake kule Wisconsin nilicoment na video kama hizi za returnees nikasema African Americans warudi nyumbani na hakuna kuandamana amabayo itafanywa wapendwe na polisi iliyouingiliwa na KKK. African Diaspora wanarudi ni wengi tu na kunao wale wanarudi Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania. Rwanda kuna Unapologetic Nomads na Uganda kuna Kenganda kwa youtube. Kunao pia wanaovutiwa na kushirikiana kwa nchi za Africa mashariki ili kuleta muungano wa Waafrika kote duniani. Hizo video umekuwa ukiupload kwa huu uzi nyingi ni za African Tigress ambaye ni Mkenya ninaye fuata kwenye youtube, ulienda kwa channel yake ukachagua za Tanzania ukaleta huku, nothing wrong with that but kuna waliorudi nchi zingine pia. Ile kuiweaponize ili ulete ubishi ndio shida. Returnees wako na uhuru wa kuchagua nchi wanayoipenda kulingana na hiari yao. Wakija nchi yeyote ya Africa mashariki ni vizuri kwani kunao walioanzisha biashara ya kuwasaidia watu. Ukitazama Wode Maya na Dynast Amir: Search for Uhuru kule youtube utapata hii sio kitu cha ubishi lakini haina shida kuwavutia waje Kwenyu. Pia utaona kuwa Wafrika hatupendi Afrika kwani balozi za Ulaya na Marekani zimejaa Wafrika wanataka kuenda Ulaya au Marekani bali kuna hawa returnees wanaorudi Afrika kusema Afrika ni bora kuliko tunakotaka kuenda sisi.
 
i) Kweli uwezo wa utafiti na masomo Tanzania ni kidogo , hiyo link inataja report ya UNCTAD amabayo yenyewe kati kati ya 2019(June) iliweka FDI ya Kenya kuwa $1.6 billion.

ii) Walioandika hiyo report ya $2.9 billion November 2019, ni Financial times- UK na British Chamber of Commerce, si Kenya , ama kiingereza ndiyo ngumu huelewi walichoandika hapo. Hawa UK wenyewe ndiyo wawekezaji wakubwa kabisa katika nchi ya Kenya, na wanajua pesa yote waliowekeza kenya kwa mwaka ya 2019

NB: Hii hapa tena soma report zote mbili kisha nagalia tarehe alafu rudi bila ushenzi mingi ya kitanzania. Wakati mwingine jaribu kufikiria siyo kuweka utanzania mingi iliyojaa udaku za kijiji na uwivu.

https://unctad.org/en/pages/newsdetails.aspx?OriginalVersionID=2109

2019 'blockbuster' year for foreign investments in Kenya
Hahahaha, kama kawaida yenu kupika data, tubawaambia ninyi hamna lolote zaidi ya kupika data, hata hii report pia inasema FDI ya Kenya 2019 ni $1.6B inakaribiana Karisa na ile ripoti ya serikali yenu niliyokuwekea iliyosema ni $1.3B.wewe uliweka Financial time inaonyesha ni $2.6B. Hahahaha, hahahaha, kila kitu lazima mnadanganya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ujinga na uwivu inakusumbua, tarehe ya hizo ripoti mbili ni tofauti, wacha upumbavu ya kisukuma. Wapi hapo mkenya ameandika ripoti yoyote kati ya hizo mbili?

i) UNCTAD (June 2019 $ 1.6 Billion)
ii) FT-UK na British Chamber Of Commerce ($ 2.9 billion November 2019)

Halafu ripoti zote mbili zinaonesha Kenya bado inapata FDI kubwa kuliko nchi nyingine za eac, kwa hivyo tukichukua ripoti ya GOK, UNCTAD na British chamber of Commerce zote zina onyesha Kenya ikishinda Tanzania, Uganda, Rwanda kwa FDI.

NB: Tanzania imeshindwa hata na Uganda kwa FDI. Kwa hivyo ujinga yako ya kitanzania kujidanganya ati Tanzania inapata FDI kubwa kwa nchi zote eac ni uongo mtupu.
Hiyo rudishia magufuli umuambie ajaribu uongo ingine, Kenya iko na upungufu ya wajinga si kama Tanazania.
 
Hahahaha, hahahaha.
1)Serikali ya Kenya inasema FDI ni $1.3B
2)UNCTAD inasema ni $1.6B
3)British chamber of Commerce $2.6B

Wewe umeamua kuachana na serikali yenu ambayo ndio "the Main source", pia ukaachana na UN body ukaamua kukimbilia na kuamini NGO ili kufurahisha ego yako.

Be assured my brother, Kenya haijawahi kufikisha FDI ya $2B tangu Kenya ilipopata uhuru wake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndugu yangu mbona unajibu kwa jaziba na matusi? Jifunze kujenga hoja za kistaarabu basi jirani yetu!

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, hahahaha.
1)Serikali ya Kenya inasema FDI ni $1.3B
2)UNCTAD inasema ni $1.6B
3)British chamber of Commerce $2.6B

Wewe umeamua kuachana na serikali yenu ambayo ndio "the Main source", pia ukaachana na UN body ukaamua kukimbilia na kuamini NGO ili kufurahisha ego yako.

Be assured my brother, Kenya haijawahi kufikisha FDI ya $2B tangu Kenya ilipopata uhuru wake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unaona sasa mahali uwivu na ujinga ya Kitanzania imekufikisha!!

i) British chamber of commerce si NGO brother, ni sehemu ya serikali ya UK ambayo huangalia nafasi za uwekezaji katika mataifa ya nje zenye kampuni za UK zinaweza changamkia. ($2.9 billion november 2019)

ii) UNCTAD nimekupa link yao mimi mwenyewe hata haukujua pahali pa kuipata. ($ 1.6 billion june 2019)

iii) Kawaida GOK kuna vitu huwahaitumi kuandika ripoti za FDI, kama Technology startup funding kwa sababu inakuwa ngumu kujumlisha kwa sababu kila mwisho ya mwezi kuna mikutano kati ya watu wa technology na wawekezaji kwa hubs kama Ihub, 88 miles per hour. Inakuwa ngumu kwa GOK kufuatilia kila mwezi ama kila wikendi.

iv) Ujinga na uwivu imekufanya hata hufikiri ukaona kutoka june 2019 mpaka november 2019, pesa za kigeni zilizidi kuingia katika nchi. Wewe kwa ujinga wako unafikiria ikifika june wawekezaji wanfunga kazi? Hao (Wazungu) si watanzania bana, hao wakiona fursa wanaichamgamkia haraka.
 
Buda joto la jiwe, Black diaspora wamekuwa waki diversify from returning to West Africa. Siku hizi sio wote wanaofanya DNA test na kurudi nchi walizona usiano nao kama Siera Leon au Ghana. Wengi wamefanya research na wakaona pia Afrika Mashariki pia inaweza kuwa nyumbani. The Returnees ambao wamechagua Afrika Mashariki wanabahati sana na wamefanya hivyo kwa vigezo vingi mojawapo ikiwa ni cost of living na miundo msingi kama maji na umeme. Pia hawa African Americans wanaporudi Afrika hawapendi mambo ya white jesus na nchi zilizoja wahindi na wabeberu kwa biashara kwani hao ndio wanaowakandamiza nchi wanakotoka. Post ya kwanza iliyowekwa hapa jf kutokana na kupigwa risasi mara saba J Blake kule Wisconsin nilicoment na video kama hizi za returnees nikasema African Americans warudi nyumbani na hakuna kuandamana amabayo itafanywa wapendwe na polisi iliyouingiliwa na KKK. African Diaspora wanarudi ni wengi tu na kunao wale wanarudi Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania. Rwanda kuna Unapologetic Nomads na Uganda kuna Kenganda kwa youtube. Kunao pia wanaovutiwa na kushirikiana kwa nchi za Africa mashariki ili kuleta muungano wa Waafrika kote duniani. Hizo video umekuwa ukiupload kwa huu uzi nyingi ni za African Tigress ambaye ni Mkenya ninaye fuata kwenye youtube, ulienda kwa channel yake ukachagua za Tanzania ukaleta huku, nothing wrong with that but kuna waliorudi nchi zingine pia. Ile kuiweaponize ili ulete ubishi ndio shida. Returnees wako na uhuru wa kuchagua nchi wanayoipenda kulingana na hiari yao. Wakija nchi yeyote ya Africa mashariki ni vizuri kwani kunao walioanzisha biashara ya kuwasaidia watu. Ukitazama Wode Maya na Dynast Amir: Search for Uhuru kule youtube utapata hii sio kitu cha ubishi lakini haina shida kuwavutia waje Kwenyu. Pia utaona kuwa Wafrika hatupendi Afrika kwani balozi za Ulaya na Marekani zimejaa Wafrika wanataka kuenda Ulaya au Marekani bali kuna hawa returnees wanaorudi Afrika kusema Afrika ni bora kuliko tunakotaka kuenda sisi.
Umezungumza vizuri, tatizo la wakenya ambalo ni tatizo la muda mrefu ni kwamba tangu mlipozaliwa serikali yenu na vyombo vyenu vya habari vimekuwa vikawaambia kwamba Kenya ndio nchi bora kuliko zote hapa Africa, kwahiyo mkenya hapendi kusikia kwamba kuna nchi zingine ambazo zinafanya vizuri zaidi ya Kenya.

Katika forums mbalimbali utakuta wakenya wanapambana na raia wa nchi mbalimbali ili kuonyesha kwamba Kenya ni nchi bora kuliko nchi zingine. Jaribu kupitia katika YouTube usome Comments za wakenya wanavyosema kuhusu nchi mbalimbali pale hizo nchi zikisifiwa, lazima utasikia wakenya watasema wao ndio the best.

Kwa mfano kuna Youtuber toka Pakistan aliweka kichwa cha habari "Dar es salaam is the New York of East Africa", soma comments za wakenya. Wode Maya alisema, Tanzania is the only country which speaks authentic Kiswahili, soma reactions za wakenya wanavyopinga.

wakenya ndio waliongoza dunia kumponda Magufuli na kuomba watanzania wafe kwa wingi kutokana na kutofuata njia ambazo wao wakenya wamezifuata, wakenya wanadhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi.

Kuhusu huu uzi niliofungua, nilichosema ni kwamba, watu weusi wengi duniani sasa wameanza kuijua Tanzania na kukimbilia kwa wingi, hakuna sehemu yoyote niliyolinganisha na Kenya, au kuonyesha kwamba Kenya hawaendi, lakini kama kawaida ya wakenya, kila kitu lazima waonyeshe kwamba Kenya ipo zaidi ya nchi zingine, hii hutokea pia na nchi zingine kama South Africa, Nigeria, Ghana, wakenya wanapambana nao, sio Tanzania Pelee.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Unaona sasa mahali uwivu na ujinga ya Kitanzania imekufikisha!!

i) British chamber of commerce si NGO brother, ni sehemu ya serikali ya UK ambayo huangalia nafasi za uwekezaji katika mataifa ya nje zenye kampuni za UK zinaweza changamkia. ($2.9 billion november 2019)

ii) UNCTAD nimekupa link yao mimi mwenyewe hata haukujua pahali pa kuipata. ($ 1.6 billion june 2019)

iii) Kawaida GOK kuna vitu huwahaitumi kuandika ripoti za FDI, kama Technology startup funding kwa sababu inakuwa ngumu kujumlisha kwa sababu kila mwisho ya mwezi kuna mikutano kati ya watu wa technology na wawekezaji kwa hubs kama Ihub, 88 miles per hour. Inakuwa ngumu kwa GOK kufuatilia kila mwezi ama kila wikendi.

iv) Ujinga na uwivu imekufanya hata hufikiri ukaona kutoka june 2019 mpaka november 2019, pesa za kigeni zilizidi kuingia katika nchi. Wewe kwa ujinga wako unafikiria ikifika june wawekezaji wanfunga kazi? Hao (Wazungu) si watanzania bana, hao wakiona fursa wanaichamgamkia haraka.
Wewe ni mjinga sana, eti serikali ambayo ndio yenye kupokea pesa na investment zote na kuzikusanya isijue kile walichokusanya, badala yake serikali ya nchi nyengine ndio ijue kila kitu kuhusu serikali yenu, hivi ninyi wakenya wazungu kwenu waliwafanyia nini katika akili zenu?

Kwa taarifa yako, serikali yoyote ile duniani ndio chanzo kikuu cha taarifa zinazuhusu uchumi wa nchi yake, sasa uingereza watajuaje wawejezaji wa Rwanda waliokwenda kuwekeza Kenya bila ya serikali ya Kenya kuwaambia?, wakenya mpo na matatizo katika akili zenu sio bure.

Ona sasa akili za ujamaa na ujinga.

i) GOK huwa haipokei pesa ya FDI mwanaume, hii si Tanzania mahali serikali lazima ipokee kila kitu hata biashara za kibinafsi hazina uhuru. FDI hukuja kutoka kwa wawekezaji wa nje mpaka kwa wanabiashara binafsi. Deals hufanywa kati ya mwanabiashara mmoja na mwingine siyo GOK.

ii) Britain watajua kwa sababu hao ndiyo wawekezaji wakubwa wa kigeni, katika nchi ya Kenya, ikifatwa na China,Japan, Marekani alafu India. Utashindana na yule anayetoa pesa yake na kuihesabu?

iii) GOK hufanya estimate kutokana na ile data wanaweza kupata kuhusu hizi private deals hata GDP hukuwa estimate. sasa kwa kichwa yako unafikiria IFC ilivyo wekeza kes 2 billion kwa naivas supermarket hiyo pesa ilipitia mikono ya GOK? Ama vile britain 2019 walitoa kitita cha $ 1.4 billion, ili kuwekeza katika nchi ya Kenya kwa technology startups za Kenya na biashara ndogo ndogo, kwa miaka mbili 2019-2020, hiyo pesa inapita kwanza kwa mikono ya GOK ndiyo ifikie hizo biashara?
 
Aisee, hivi Kenya shule mnaenda kusoma nini mkiacha kusomeshwa ukabila na corruption?, hivi unajua majukumu ya serikali duniani, hivi majukumu ya hiyo British chamber of Commerce ni yapi?, hivi unajua umuhimu na majukumu ya Kenya/Tanzania investments Centres ni yapi, jukumu kubwa la Kenya Central Bank ni lipi?.

Jukumu kubwa la Back kuu ya nchi yoyote ile duniani pamoja na kazi zingine ni kuhakikisha kwamba pesa zote za Kigeni zinazoingia na kutoka ndani ya nchi zinajulikana na zinapitia mikononi na Bank kuu, lazima Bank kuu ijue pesa zilizoingia nchini na wapi zimekwenda, Hakuna hata pesa moja inayoingia nchini kwa mfumo halali ambayo serikali haijui.

FDI zote lazima taarifa zake zipitie na zijulikane na Government Investments center, Hakuna serikali isiyojua kiasi gani cha Investments imepokea, labda failed state kama Kenya, wacha kujiaibisha.

Mkuu naona leo unamshughulikia huyo chekechea🙂

Ukienda YouTube utamkuta na ID yake hiohio akiiponda Bongo openly kama anavyofanya hapa. Huwa hataki kusikia watu wakiisifia Bongo kwa jambo lolote, what a character.
 
Huko You tube sijakutana naye, ila kuna mkenya mmoja huko anajiita T. S naye yuko kama huyu, sasa hivi huko ninamshikisha adabu, naye ameshakunja mkia wake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naona leo unamshughulikia huyo chekechea🙂

Ukienda YouTube utamkuta na ID yake hiohio akiiponda Bongo openly kama anavyofanya hapa. Huwa hataki kusikia watu wakiisifia Bongo kwa jambo lolote, what a character.
Nina uhakika, huwa wameajiriwa na GOK
 
Mkuu naona leo unamshughulikia huyo chekechea🙂

Ukienda YouTube utamkuta na ID yake hiohio akiiponda Bongo openly kama anavyofanya hapa. Huwa hataki kusikia watu wakiisifia Bongo kwa jambo lolote, what a character.
Nilikutana na comment yake akiponda SGR ya Tanzania,

Sio huyo tu kuna mwingine huwa anaponda Dar es salaam akiwa humu jamiiforums ila nje ya humu anatumia picha za Dar es salaam kama profile picture kwenye mtandao fulani wa kijamii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom