Tanzania yazidi kuwavutia watu weusi duniani kote, wengi wachukua uraia wa Tanzania

Umezungumza vizuri, tatizo la wakenya ambalo ni tatizo la muda mrefu ni kwamba tangu mlipozaliwa serikali yenu na vyombo vyenu vya habari vimekuwa vikawaambia kwamba Kenya ndio nchi bora kuliko zote hapa Africa, kwahiyo mkenya hapendi kusikia kwamba kuna nchi zingine ambazo zinafanya vizuri zaidi ya Kenya.

Katika forums mbalimbali utakuta wakenya wanapambana na raia wa nchi mbalimbali ili kuonyesha kwamba Kenya ni nchi bora kuliko nchi zingine. Jaribu kupitia katika YouTube usome Comments za wakenya wanavyosema kuhusu nchi mbalimbali pale hizo nchi zikisifiwa, lazima utasikia wakenya watasema wao ndio the best.

Kwa mfano kuna Youtuber toka Pakistan aliweka kichwa cha habari "Dar es salaam is the New York of East Africa", soma comments za wakenya. Wode Maya alisema, Tanzania is the only country which speaks authentic Kiswahili, soma reactions za wakenya wanavyopinga.

wakenya ndio waliongoza dunia kumponda Magufuli na kuomba watanzania wafe kwa wingi kutokana na kutofuata njia ambazo wao wakenya wamezifuata, wakenya wanadhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi.

Kuhusu huu uzi niliofungua, nilichosema ni kwamba, watu weusi wengi duniani sasa wameanza kuijua Tanzania na kukimbilia kwa wingi, hakuna sehemu yoyote niliyolinganisha na Kenya, au kuonyesha kwamba Kenya hawaendi, lakini kama kawaida ya wakenya, kila kitu lazima waonyeshe kwamba Kenya ipo zaidi ya nchi zingine, hii hutokea pia na nchi zingine kama South Africa, Nigeria, Ghana, wakenya wanapambana nao, sio Tanzania Pelee.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Nitanzaa na aya yako yakwanza. Asante kwa kupokea ujumbe wangu vyema🙂. Kisha unasema Wakenya hawapendi kusikia kuwa nchi ingine zinafanya vyema kuwashinda. Hakuna kura ya maoni "poll" au referendum iliyofanywa ikaidhinisha huo mtazamo. Huo hauwezi kuwa ukweli kwasababu kuna mifano mingi lakini nitakupa mmoja tu. Huyo dada African Tigress hapo anayo video akiwa Tanzania na hana huo mtazamo ulioandika hapo. Pia utapata ni Wakenya wachache mno walio jf au mtanaoni wanao wasilisha maoni yao au walio na ubishani kama huo ukilinganisha na wasio mtandaoni. Mtu akiamua kuwapa watu wachache mda wake atafanya hivyo kwa hiari yake.

Wakenya wanapenda kushabikia nchi yao mtandaoni haswa tunaposhambuliwa au kutajwa vibaya. Kenya kuwa bora haimanishi tunasema wengine ni wabaya, kila nchi iko na mkondo wake inayoifuata.

😂 Huyo youtuber hangetaja East Africa. Hauwezi taja East Africa alafu you lock Kenyans out of that debate. Wakenya watakuja kwa wingi na utapata kuna wale wako na hoja na kuna wale wakutroll. Hio nisawa na kuweka Wakenya inje ya lugha ya kiswahili yani baada ya kupitia shuleni umesoma Kiswahili kwa lazima na kufanya mitihani ya kutesa kuna mtu anasema Kenya haifai kujihusisha vilivyo na kiswahili basi huyo mtu tutamshambulia tu hata kama ni nchi kubwa.

Sio ukweli Wakenya waliongoza "dunia" kumponda Magufuli. Hakuna dunia kati ya Kenya na Tanzania. Kenya na Tanzania ni majirani wanaopaswa kuwa ndugu. Wakenya wanaijua Tanzania kuliko watu wengine wanavyoijua Tanzania na wanaweza kuwasiliana na Watanzania kwa Kiswahili. Na kama kawaida kwenye mdahalo huo kulikuwa na wenye hoja na wale wakutroll. Pia Kulikuwa na Watanzania waliokuwa na mtazamo tofauti na ule wa serikali ya Magufuli. Baada ya kuona yale yaliyofanyika Uispania na Italia kisha yaliyowapata Weusi wa Marekani ambao ndio walikuwa wanaathirika sana hakuna vile ungesema kuwa mtazamo huu au ule ndio ulio sawa kwa asilimia mia moja wakati huo. Hivi sasa kuna uzi hapa jf ulio na post za Wakenya na Waganda walioshagazwa vile Tanzania haijaathirika na wanampongeza Magufuli alivyoikomesha hii korona. Hapo kwa Wakenya kuwaombea Tanzania wafe sikubaliani nawe kabisa kama ipo waliosema hivyo basi hao ni mashetani tu hata sio trolls. Sikubaliani na Wakenya wanaosema kila kilicho Kenya kiwe copy pasted kwa nchi zingine. Mimi huwa na mtazamo wa Afrika Mashariki na kila nchi ya Afrika Mashariki ni an experiment on its own katika kufuata mtindo wa ujamaa, common man's charter na ubepari. Ule atakaye pata mtindo wake ni bora basi wengine waone watakaloiga kwa hiari yao.

Nakubaliana nawe kwenye aya ya mwisho ila Kenyans waliomtandaoni ni aina tofauti na sio tu wale wakushambulia nchi yeyote kiholela. Kama nilivyosema kuna wale walio na hoja ambao kwa mtazamo wangu nitawaita First class debaters wetu ikiwemo PLO Lumumba, Dr. Mumbi, Mukhisa Kituyi, David Ndii, marehemu Mazrui na wengineo. Alafu kunao wale wanaowafuata hawa wanajadili mswala kwa hutoa hoja bora. Alafu kule chini kuna wale wasiofahamu jambo lakini lazima wajiingize kwenye mjadala au waje pale kutroll tu. Mwisho kuna wale wakushambulia kwa sababu kuna kushambulia na hapo utapata Watanzania na Wakenya. Hawa ni wale wakisikia Kenya au Tanzania basi wameona adui. Haya yote ni kutokana na uhuru wa kujieleza na Wakenya hawapimwi au kujipima, hao ndio walifanya rais wao kufunga akaunti ya twitter ya "the most followed president in Afrca" kutokana usumbufu wao. Wakenya waliungana na waafrika wengine kushutumu jaribio la wafaranza fulani kufanya majaribio ya chanjo za korona kwa Waafrika. Basically Kenyans are always in the survival of the fittest mode. Hii haimanishi kuwa hatujawai kuwa na serikali zilizotuweka on the wrong side of history on some of these issues.

Kile ninachofahamu ni kuwa mtu akialika trolls kutoka Kenya basi utawapata kwa mtiriko na wingi sana.
 
Kweli Ujinga imekolea Tanzania. Ama ni utafiti ndiyo ngumu kwa watanzania kufanya.

i) 2019, Tanzania ilipokea FDI ya $1.1 billion ilhali Kenya ilipokea $2.9 billion piga hesabu ujue gani ni nyingi kati ya $1.1 billion na $2.9 billion. Hii FDI ya Kenya iliongozwa na Technology funding. (2019 'blockbuster' year for foreign investments in Kenya)

ii) Najua wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa katika east and central africa ikifatwa na Africa kusini. Makampuni ya Kenya yameajiri watu wengi afrika mashariki. Nyinyi kazi yenu ni kuchangia tu kwa omba omba, na wachuuzi wa soksi Gikomba.

Huko Kenya, katika hiyo $2.9 billion, 2.7 ziliishia kuibiwa na kurudishwa Ulaya na TZ hizo 1.1 billioni zote ziliwekezwa, ndiyo maana TZ ikaingia uchumi wa kati na Kenya haikupanda ngazi toka ilipo!
 
Nitanzaa na aya yako yakwanza. Asante kwa kupokea ujumbe wangu vyema🙂. Kisha unasema Wakenya hawapendi kusikia kuwa nchi ingine zinafanya vyema kuwashinda. Hakuna kura ya maoni "poll" au referendum iliyofanywa ikaidhinisha huo mtazamo. Huo hauwezi kuwa ukweli kwasababu kuna mifano mingi lakini nitakupa mmoja tu. Huyo dada African Tigress hapo anayo video akiwa Tanzania na hana huo mtazamo ulioandika hapo. Pia utapata ni Wakenya wachache mno walio jf au mtanaoni wanao wasilisha maoni yao au walio na ubishani kama huo ukilinganisha na wasio mtandaoni. Mtu akiamua kuwapa watu wachache mda wake atafanya hivyo kwa hiari yake.

Wakenya wanapenda kushabikia nchi yao mtandaoni haswa tunaposhambuliwa au kutajwa vibaya. Kenya kuwa bora haimanishi tunasema wengine ni wabaya, kila nchi iko na mkondo wake inayoifuata.

[emoji23] Huyo youtuber hangetaja East Africa. Hauwezi taja East Africa alafu you lock Kenyans out of that debate. Wakenya watakuja kwa wingi na utapata kuna wale wako na hoja na kuna wale wakutroll. Hio nisawa na kuweka Wakenya inje ya lugha ya kiswahili yani baada ya kupitia shuleni umesoma Kiswahili kwa lazima na kufanya mitihani ya kutesa kuna mtu anasema Kenya haifai kujihusisha vilivyo na kiswahili basi huyo mtu tutamshambulia tu hata kama ni nchi kubwa.

Sio ukweli Wakenya waliongoza "dunia" kumponda Magufuli. Hakuna dunia kati ya Kenya na Tanzania. Kenya na Tanzania ni majirani wanaopaswa kuwa ndugu. Wakenya wanaijua Tanzania kuliko watu wengine wanavyoijua Tanzania na wanaweza kuwasiliana na Watanzania kwa Kiswahili. Na kama kawaida kwenye mdahalo huo kulikuwa na wenye hoja na wale wakutroll. Pia Kulikuwa na Watanzania waliokuwa na mtazamo tofauti na ule wa serikali ya Magufuli. Baada ya kuona yale yaliyofanyika Uispania na Italia kisha yaliyowapata Weusi wa Marekani ambao ndio walikuwa wanaathirika sana hakuna vile ungesema kuwa mtazamo huu au ule ndio ulio sawa kwa asilimia mia moja wakati huo. Hivi sasa kuna uzi hapa jf ulio na post za Wakenya na Waganda walioshagazwa vile Tanzania haijaathirika na wanampongeza Magufuli alivyoikomesha hii korona. Hapo kwa Wakenya kuwaombea Tanzania wafe sikubaliani nawe kabisa kama ipo waliosema hivyo basi hao ni mashetani tu hata sio trolls. Sikubaliani na Wakenya wanaosema kila kilicho Kenya kiwe copy pasted kwa nchi zingine. Mimi huwa na mtazamo wa Afrika Mashariki na kila nchi ya Afrika Mashariki ni an experiment on its own katika kufuata mtindo wa ujamaa, common man's charter na ubepari. Ule atakaye pata mtindo wake ni bora basi wengine waone watakaloiga kwa hiari yao.

Nakubaliana nawe kwenye aya ya mwisho ila Kenyans waliomtandaoni ni aina tofauti na sio tu wale wakushambulia nchi yeyote kiholela. Kama nilivyosema kuna wale walio na hoja ambao kwa mtazamo wangu nitawaita First class debaters wetu ikiwemo PLO Lumumba, Dr. Mumbi, Mukhisa Kituyi, David Ndii, marehemu Mazrui na wengineo. Alafu kunao wale wanaowafuata hawa wanajadili mswala kwa hutoa hoja bora. Alafu kule chini kuna wale wasiofahamu jambo lakini lazima wajiingize kwenye mjadala au waje pale kutroll tu. Mwisho kuna wale wakushambulia kwa sababu kuna kushambulia na hapo utapata Watanzania na Wakenya. Hawa ni wale wakisikia Kenya au Tanzania basi wameona adui. Haya yote ni kutokana na uhuru wa kujieleza na Wakenya hawapimwi au kujipima, hao ndio walifanya rais wao kufunga akaunti ya twitter ya "the most followed president in Afrca" kutokana usumbufu wao. Wakenya waliungana na waafrika wengine kushutumu jaribio la wafaranza fulani kufanya majaribio ya chanjo za korona kwa Waafrika. Basically Kenyans are always in the survival of the fittest mode. Hii haimanishi kuwa hatujawai kuwa na serikali zilizotuweka on the wrong side of history on some of these issues.

Kile ninachofahamu ni kuwa mtu akialika trolls kutoka Kenya basi utawapata kwa mtiriko na wingi sana.
Umeandika mambo mengi kiasi inakua vigumu kuyakumbuka na kuyajibu yote, ila nitajitahidi kuyajibu machache. Umesema hakukuwepo kura ya maoni iliyeonyesha wakenya hawapendi kuona nchi zingine zinasifiwa kwahiyo sio kweli, hivi kulishanyika kura ya maoni iliyosema Kenya kuna ukabila au rushwa?.

Majibu yako ni kutokana na unavyofuatilia mambo ya Kenya na Tanzania na sio lazima iwe ni kweli. Mimi au sisi watanzania hapa JF au katika mitandao ya Kijamii mbalimbali ni sehemu ya watanzania wengi, kama ilivyo wakenya waliopo katika mitandao mingi ya kijamii, kiukweli ni kwamba sisi watanzania na wakenya ni picha halisi ya nchi zetu, kwa kiasi kikubwa tunawakalisha mawazo na mitazamo ya nchi zetu.

Kwahiyo japo baadhi ya wakenya wanatabia tofauti na wakenya wengine kama ulivyisema huyu Youtuber Tigress, au huyu Mkikuyu akili-timamu, lakini walio wengi mtazamo wao kwa Tanzania na nchi zingine ni "negative" sawa, hiyo sio kwa wakenya waliopo katika mitandao ya kijamii pekee, lakini hata viongozi wa Kenya wengi wapo hivyo, wakenya ni watu wenye kudhani kila kinachofanyika Kenya ni sahihi na kwengine wanafanya makosa, mfano mzuri ni yale matukio ya Tanzania kuchoma vifaranga kule Namanga, huwezi kuamini kwamba jambo dogo lile ambapo Kenya haihusiki kwa vyovyote lakini hadi viongozi wa Kenya wameendelea kulilaani hadharani hadi ktk vikao vya bunge.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nitanzaa na aya yako yakwanza. Asante kwa kupokea ujumbe wangu vyema🙂. Kisha unasema Wakenya hawapendi kusikia kuwa nchi ingine zinafanya vyema kuwashinda. Hakuna kura ya maoni "poll" au referendum iliyofanywa ikaidhinisha huo mtazamo. Huo hauwezi kuwa ukweli kwasababu kuna mifano mingi lakini nitakupa mmoja tu. Huyo dada African Tigress hapo anayo video akiwa Tanzania na hana huo mtazamo ulioandika hapo. Pia utapata ni Wakenya wachache mno walio jf au mtanaoni wanao wasilisha maoni yao au walio na ubishani kama huo ukilinganisha na wasio mtandaoni. Mtu akiamua kuwapa watu wachache mda wake atafanya hivyo kwa hiari yake.

Wakenya wanapenda kushabikia nchi yao mtandaoni haswa tunaposhambuliwa au kutajwa vibaya. Kenya kuwa bora haimanishi tunasema wengine ni wabaya, kila nchi iko na mkondo wake inayoifuata.

[emoji23] Huyo youtuber hangetaja East Africa. Hauwezi taja East Africa alafu you lock Kenyans out of that debate. Wakenya watakuja kwa wingi na utapata kuna wale wako na hoja na kuna wale wakutroll. Hio nisawa na kuweka Wakenya inje ya lugha ya kiswahili yani baada ya kupitia shuleni umesoma Kiswahili kwa lazima na kufanya mitihani ya kutesa kuna mtu anasema Kenya haifai kujihusisha vilivyo na kiswahili basi huyo mtu tutamshambulia tu hata kama ni nchi kubwa.

Sio ukweli Wakenya waliongoza "dunia" kumponda Magufuli. Hakuna dunia kati ya Kenya na Tanzania. Kenya na Tanzania ni majirani wanaopaswa kuwa ndugu. Wakenya wanaijua Tanzania kuliko watu wengine wanavyoijua Tanzania na wanaweza kuwasiliana na Watanzania kwa Kiswahili. Na kama kawaida kwenye mdahalo huo kulikuwa na wenye hoja na wale wakutroll. Pia Kulikuwa na Watanzania waliokuwa na mtazamo tofauti na ule wa serikali ya Magufuli. Baada ya kuona yale yaliyofanyika Uispania na Italia kisha yaliyowapata Weusi wa Marekani ambao ndio walikuwa wanaathirika sana hakuna vile ungesema kuwa mtazamo huu au ule ndio ulio sawa kwa asilimia mia moja wakati huo. Hivi sasa kuna uzi hapa jf ulio na post za Wakenya na Waganda walioshagazwa vile Tanzania haijaathirika na wanampongeza Magufuli alivyoikomesha hii korona. Hapo kwa Wakenya kuwaombea Tanzania wafe sikubaliani nawe kabisa kama ipo waliosema hivyo basi hao ni mashetani tu hata sio trolls. Sikubaliani na Wakenya wanaosema kila kilicho Kenya kiwe copy pasted kwa nchi zingine. Mimi huwa na mtazamo wa Afrika Mashariki na kila nchi ya Afrika Mashariki ni an experiment on its own katika kufuata mtindo wa ujamaa, common man's charter na ubepari. Ule atakaye pata mtindo wake ni bora basi wengine waone watakaloiga kwa hiari yao.

Nakubaliana nawe kwenye aya ya mwisho ila Kenyans waliomtandaoni ni aina tofauti na sio tu wale wakushambulia nchi yeyote kiholela. Kama nilivyosema kuna wale walio na hoja ambao kwa mtazamo wangu nitawaita First class debaters wetu ikiwemo PLO Lumumba, Dr. Mumbi, Mukhisa Kituyi, David Ndii, marehemu Mazrui na wengineo. Alafu kunao wale wanaowafuata hawa wanajadili mswala kwa hutoa hoja bora. Alafu kule chini kuna wale wasiofahamu jambo lakini lazima wajiingize kwenye mjadala au waje pale kutroll tu. Mwisho kuna wale wakushambulia kwa sababu kuna kushambulia na hapo utapata Watanzania na Wakenya. Hawa ni wale wakisikia Kenya au Tanzania basi wameona adui. Haya yote ni kutokana na uhuru wa kujieleza na Wakenya hawapimwi au kujipima, hao ndio walifanya rais wao kufunga akaunti ya twitter ya "the most followed president in Afrca" kutokana usumbufu wao. Wakenya waliungana na waafrika wengine kushutumu jaribio la wafaranza fulani kufanya majaribio ya chanjo za korona kwa Waafrika. Basically Kenyans are always in the survival of the fittest mode. Hii haimanishi kuwa hatujawai kuwa na serikali zilizotuweka on the wrong side of history on some of these issues.

Kile ninachofahamu ni kuwa mtu akialika trolls kutoka Kenya basi utawapata kwa mtiriko na wingi sana.
Mfano mzuri unaothibitisha kwamba wakenya hawapendi kusikia nchi zingine zinafanya vizuri ni huu uzi nilioufingua unaosema "watu weusi wameanza kuijua Tanzania", Hakuna sehemu Kenya imetajwa, lakini ona jinsi wakenya walivyojibu. Ukweli ni kwamba wakenya ndio mko hivyo, mnashambuliana na mataifa mengi kwa sababu ya tabia yenu ya kutaka kuonekana ninyi ni "better" kuliko wengine.

Hivi ndivyo wakenya wabavyosema
Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Utawaskia "ujuage hiyo ni editing na sio kweli, kenya iko na wageni wengi kuliko tanzania.

"Na mulima pia nayo ni yetu"
Inakusaidia nn, utakuta wageni unaozungumzia ni wazungu. Wakija black americans kuomba uraia. Mnaanza oooh. Mara wavuta bangi
 
Yaani ndiyo munaanza sahi? Kenya iko na expatriates wengi weusi, wazungu, wahindi kutoka dunia mzima ambao wamechukua uraia ya Kenya.
UN sahi inajengea wafanyakazi wake waliostaafu na wakachukuwa uraia ya Kenya nyumba zaidi ya 8000 Nairobi inaitwa Habitat heights.

Makampuni mengi ya kigeni yakija kenya, managers hawataki kutoka hata kampuni ikianguka . Michael Joseph, Bob collymore wote wali chukua uraia ya Kenya. Mzungu naye aliyetumwa kuongoza east african breweries kutoka UK pia yeye amechukua uraia ya Kenya.

Hii ushamba ya kushabikia vitu vidogo kama mbwa imepata mfupa inatia huruma.
Mkaeibishe na kutoa fursa kwa african diaspora. Tujijenge kwanza sisi
 
Buda tunazungumzia black diaspora ambao wamechoka kunyanyaswa wanatafuta nchi yenye mazingira mazuri kwa wao kurudi nyumbani Africa, hatuzingumzii wazungu au UN staff ambao wengi wao wanaishi maisha ya juu hawachanganyiki na raia wa kawaida.

Hawa black diaspora wanataka kuanza maisha mapya, wanatafuta nchi ambazo zitawapa amani na kujihisi wapo salama bila kubaguliwa, wanatafuta nchi zenye
1) Amani ya hali ya juu
2)Political stability
3)Unity and tranquility
4)No any type of racism or tribalism
5)Good economic growth
6)Big and arable land but cheap to acquire
7)Free of corruption
8) Free of crime or terrorism
Umesahau kuweka security
 
Back
Top Bottom