You are not informed! Cool down! TZ we are smarter than anyone in EA!Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Country's interest is paramount!!Are we gaining or loosing on this decision?
Unakumbuka "Coalition of the willing ?", unakumbuka mkataba wa EPA?, unakumbuka bomba la mafuta la Uganda?, naomba utaje maeneo matatu ambayo Kenya iliibwaga TanzaniaTanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Wewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.Mjinga kama mama yako! kwahiyo hii vita ya unfair trade tuipigane vipi mbwigambwiga? hata kwenye korosho mliongea hivihivi!
Wewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.
Nani wa kulipa fidia?Kuna fidai watapewa kwa hasara watakayopata kutokana na hili agizo?
Interest za nchi kwanza mkuu! Ndiyo maswala ya kimataifa yanavyoenda!Wewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
hawamjui Magufuli hapo anawalia mingo ngoja waendeleze hili saga, next all Kenyan banks in Tanzania will be shut down! inabidi Commercial Bank of Africa ianze kwanza maana Kunyatta ana shares huko!
fanya fasta baba unakumbuka Uchumi na Nakumatt walivyofungasha virago? Hawakulipa wafanyakazi mpaka leo! Hili pia GoT inapoaswa kuliongelea!Ngoja niamishe pesa zng meko ni unpredictable kama 2020
Tunakomesha na precision air, dah Magu bhn raha sn [emoji3][emoji3][emoji3]Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.
MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio tayari huku tunawa-profileWewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.
Mkuu hili jambo lako litapitishwa tu cz tupo nao humu na wanaona na wanayafanyia kazi hawajawahi kutuangusha [emoji3][emoji3]hawamjui Magufuli hapo anawalia mingo ngoja waendeleze hili saga, next all Kenyan banks in Tanzania will be shut down! inabidi Commercial Bank of Africa ianze kwanza maana Kunyatta ana shares huko!
kumbe wewe ndiye fala kwani hatuna Benki za kitanzaniaWewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.
We jamaa kaa pembeni hii mada ni nzito kwako kuielewa, hawa ni watanzania wapya wanaojibu mapigo ya vita vya kiuchumi dhidi ya nchi iliyokuwa ikitupiga vita vya kiuchumi miaka mingi.Wewe ndio mjinga. Unaangalia tumbo lako tu. Hao watanzania wanaokula na kusomesha watoto wao kupitia hizi benki utawalisha wewe? Shame on you.
Tutaanza Kwanza na weweMwaka huu mtagombana na dunia nzima
Source please, siyo nioneshe hisia zangu kumbe fake newsTanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.
MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana, lazima ajulikane nani zaidi hapa EA, haiwezikani vijinchi vya hovyo kutaka kutunisha misuli wakati baba yupo nyumbaniWenzio tayari huku tunawa-profile