Tanzania yazionya mashirika yote ya ndege yanayofanya safari za moja kwa moja Kati ya Kenya na Tanzania kusitisha haraka safari hizo

Akili za kukata tamaa hizo, we kaa pembeni utuache sisi tusonge mbele
 
Kwenye utaratibu wa malori ndio walilikoroga

Walikubaliana vizuri A baada ya kikao kesho yake Waka introduce taratibu zao mpya walikozitoa wanakojua wao, kumbe JPM alikua anawavutia kasi tu, hahaha balaa kubwa wakaja kujichanganya kwenye hili la ndege hahaha JPM ndio anawarusha kichura mpaka sio poa 😅😅😅
 
Mmmmh...hahaha...it is the other way round...Kenya kamwe haiwezi kuishinda TZ...Uganda kamwe haiwezi kutangaza uadui na T
Bomba lipi?
Utakua hujielewi wewe
Pengine anazungumzia bomba la chang'aa ...
 
Mi napenda afungie KQ na hizo nyingine tatu kwa mwaka hivi!
 
Mi napenda afungie KQ na hizo nyingine tatu kwa mwaka hivi!
Na ndio lengo lake hili tena usishangae akazipiga pini mpaka 2022,na saivi ni dhahiri huu mtiti sio wa kuongelewa na ngazi ya mawaziri tena huku uhuru akionekana wazi kabisa hana guts za kumuapproach Magu kwa sasa

Naona kamtuma balozi wao kufanya maigizo anayofanya sasa, ana bahati mbaya sana sababu saivi serikali nzima ipo busy na uchaguzi na mega projects zinazoendelea nchini, serikali itakuja kupata relief miezi 6 ijayo.
 
Wewe kwani una tofauti yeyote na akilj za Lisu?
 
And who will loose? How many Tanzanians are employed by these banks? Kweli ujinga ni mzigo.
Those Tanzanians can find employment in other Banks if the need arises. I don't think the host country will lose. The share holders will be worried.
 
Jamaa anacheka kile kicheko cha hatudanganyiki
 
Tanzania imeanza kujitambua sasa kuwa ni super power ya East Africa
Sio kujitambua mkuu, tumepata rais ambaye anajali maslahi ya Tanzania. Nyerere alifunga mpaka kwa miaka mingi tu hadi Sokoine alipoondoa hilo tatizo kwa ushawishi wake. Tumerudi kule kule, this time around lazima kilichomtoa kanga manyoya kionekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…